Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,595
- 140,050
Anahisi una demu wa pembeni tayari!
We usisumbue kichwa, we fanya yanayotakiwa kama wajibu!Wakuu nimeoa nina mwaka mmoja.
Shemeji/wifi yenu ana mimba,kwa kweli kipindi fulani akawa na mapenzi mazito sana na mimi,kiasi kwamba nikiwa field,wikendi lazima anifate,usiku tunaongea na simu mpaka saa 6.
Bandugu amebadilika ghafla,simu anampa house girl kupokea,text hajibu.
Akichoka kelele za ring tone anazima.
Hata sijui nifanyeje,kazi haziendi huku mbali nilipo.
Daaaah,majanga
So umeona hiyo ndio solution!!? Samahani hivi huwa mnaoa kabla hamjaielewa vizuri ndoa au!!?
Just like the old days
We usisumbue kichwa, we fanya yanayotakiwa kama wajibu!
kuhusu simu we piga akipokea au asipokee poa! Siku akipokea mwambie unahitaji kuongea na house girl na siye yeye!
Vumilia hizo ni hulka za wajawazito wengi, ni kawaida subiri akulete mtoto utafurahi kuitwa BABA !!!!!
Haukujiandaa vizuri,jiulize ni kitu gani umekifanya cha kumkera manake mimba za digital zina hasira sana na kuzira..