Melki the Storyteller
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 5,712
- 9,791
Tunaona teuzi zake nyingi zikiegemea mlango huo.Koran 5;51. Enyi mlio amini! (Waislamu) Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki.
Hivi unazijua ndoa za kiislamu wewe au unazisikia tu? Kuwa muislamu alafu oa kwa ndoa ya kiislamu, baada ya miaka mitano njoo hapa uje kusimulia.Nahisi sheria hizo ndo chanzo kikubwa cha wanawake wengi wa kiislamu kuwa ni wenye maadili na wanaothamini sana ndoa zao. Sheria ya taraka inawabana sana, hawana namna zaidi ya kutumikia ndoa na kuheshimu waume zao
Ndoa sio kifungo kwenye uislamu
Ni kama vile walifahamu mapema kuwa wanawake hawa tulionao ni pasua kichwa, hivyo kulindwa kwa haki za wanaume. Yanini mwanaume ife na presha? Akikuzingua, na wewe mzingue. Akionesha utofauti, tandika taraka. Tafuta jiko lingine tena zuri zaidi yake, sogeza kwa mjengo. Hamuoni kama hiyo ni raha sana ndugu zanguni?
Naogopa sana mambo ya kujifungamanisha na maisha ya mtu. Yaani udumu na mtu maisha yake yote. Na wanawake hawa wa upande wetu huficha makucha yao mpaka pale tu utakapowaoa, wakiamini kuwa mmeshakuwa mwili mmoja, na hakuna binadamu yeyote wa kuwatenganisha isipokuwa kifo
Hatari sana ndugu zangu, mimi nahama
Uhuru wa kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja
Unaoa kwa mara ya kwanza, mwanamke mweupe mfupi hivi mwenye sauti ya chini na ya upole, unaona ni kama vile haujakamilika, unaongeza chuma kingine cheusi (black beauty) chenye macho ya huruma na upole mwingi, unaona mjengo umepoa sana, unaoa wa tatu, huyu anakuwa changamsha genge, mama wa mavaibu, full mastori ndani, unaona bado hujasema, unaongeza chuma cha nne kutoka Tanga na Zenji, full kuogesha Adarlasin na Iligirani. Mfano mimi hapa, nitamani tena wanawake wengine wa kazi gani wakati kila sampo niko nayo ndani? Nakuwa kama Mswati vile, leo huku kesho huku. Hata ile kumzoea mkeo unakuwa huna, kwa masifa unapitisha hata wiki nzima bila kula dodo
Hii ya kwetu bhana, pingu unafunga na mmoja, ukiwa na mwingine unaambiwa huyo ni najisi, akidakwa kwenye fumanizi anamwagiwa maji ya moto. Yote ya nini?
Busara ya wazazi wa binti wa kiislamu, utu mbele pesa nyuma
Hii ndio kubwa kuliko, wazazi wa kiislamu hujali sana utu, yaani unaweza patiwa binti yao hata kwa mahari ya Tsh. 20k tu ilimradi wewe na mtoto wao mmekubaliana. Yaani hawana mambo mengi, sheikh aitwe, ubani uchomwe, ndoa ifungwe, ubebe jiko ukapikie
Huku kwetu sasa, wajomba na wajomba watakaa vikao vizito sana kupanga mahari, kila mtu atataka kukupiga vitu vizito kupitia binti, utasikia yunahitaji Milioni tatu na nusu, hiyo siku nilicheka sana aisee, nikitafakari binti yao nishatafuna mbususu zaidi ya mara tano, nangoja nini sasa wakati pale kuna Binti Mariam ametulia kama ua bustanini, mahari msaafu!
Ngoja niweke tupicha twa kusindikizia uzi
Uko sahihi kabisa.Mambo ya mahari sio vitegauchumu au kukomoana Kwa WaislamuNahisi sheria hizo ndo chanzo kikubwa cha wanawake wengi wa kiislamu kuwa ni wenye maadili na wanaothamini sana ndoa zao. Sheria ya taraka inawabana sana, hawana namna zaidi ya kutumikia ndoa na kuheshimu waume zao
Ndoa sio kifungo kwenye uislamu
Ni kama vile walifahamu mapema kuwa wanawake hawa tulionao ni pasua kichwa, hivyo kulindwa kwa haki za wanaume. Yanini mwanaume ife na presha? Akikuzingua, na wewe mzingue. Akionesha utofauti, tandika taraka. Tafuta jiko lingine tena zuri zaidi yake, sogeza kwa mjengo. Hamuoni kama hiyo ni raha sana ndugu zanguni?
Naogopa sana mambo ya kujifungamanisha na maisha ya mtu. Yaani udumu na mtu maisha yake yote. Na wanawake hawa wa upande wetu huficha makucha yao mpaka pale tu utakapowaoa, wakiamini kuwa mmeshakuwa mwili mmoja, na hakuna binadamu yeyote wa kuwatenganisha isipokuwa kifo
Hatari sana ndugu zangu, mimi nahama
Uhuru wa kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja
Unaoa kwa mara ya kwanza, mwanamke mweupe mfupi hivi mwenye sauti ya chini na ya upole, unaona ni kama vile haujakamilika, unaongeza chuma kingine cheusi (black beauty) chenye macho ya huruma na upole mwingi, unaona mjengo umepoa sana, unaoa wa tatu, huyu anakuwa changamsha genge, mama wa mavaibu, full mastori ndani, unaona bado hujasema, unaongeza chuma cha nne kutoka Tanga na Zenji, full kuogesha Adarlasin na Iligirani. Mfano mimi hapa, nitamani tena wanawake wengine wa kazi gani wakati kila sampo niko nayo ndani? Nakuwa kama Mswati vile, leo huku kesho huku. Hata ile kumzoea mkeo unakuwa huna, kwa masifa unapitisha hata wiki nzima bila kula dodo
Hii ya kwetu bhana, pingu unafunga na mmoja, ukiwa na mwingine unaambiwa huyo ni najisi, akidakwa kwenye fumanizi anamwagiwa maji ya moto. Yote ya nini?
Busara ya wazazi wa binti wa kiislamu, utu mbele pesa nyuma
Hii ndio kubwa kuliko, wazazi wa kiislamu hujali sana utu, yaani unaweza patiwa binti yao hata kwa mahari ya Tsh. 20k tu ilimradi wewe na mtoto wao mmekubaliana. Yaani hawana mambo mengi, sheikh aitwe, ubani uchomwe, ndoa ifungwe, ubebe jiko ukapikie
Huku kwetu sasa, wajomba na wajomba watakaa vikao vizito sana kupanga mahari, kila mtu atataka kukupiga vitu vizito kupitia binti, utasikia yunahitaji Milioni tatu na nusu, hiyo siku nilicheka sana aisee, nikitafakari binti yao nishatafuna mbususu zaidi ya mara tano, nangoja nini sasa wakati pale kuna Binti Mariam ametulia kama ua bustanini, mahari msaafu!
Ngoja niweke tupicha twa kusindikizia uzi
Wanaruhusiwa ila hawalazimishwi kwenda kama walivo lazimishwa wanaumeHivi ni kweli wanawake hawaruhusiwi kuswali msikitini?
Kwanini nahitaji ufafanuzi zaidi kuhusu hili, kwa tafiti yangu ndogo ya msikiti wa gadafi dodoma nililiona hili, idadi kubwa ya wanaotoka kuswali ni wanaume kuliko wanawake tofauti na imani nyingine wanawake ni wengi kwenye nyumba za ibada kuzidi wanaume.Wanaruhusiwa ila hawalazimishwi kwenda kama walivo lazimishwa wanaume
The choice is yours. Lakini kabla huja angukia kwenye imani yeyote ni vizuri ukajifunza imani hiyo kwa mapana yake. Si kuangalia aspect moja tu.Nahisi sheria hizo ndio chanzo kikubwa cha wanawake wengi wa kiislamu kuwa ni wenye maadili na wanaothamini sana ndoa zao. Sheria ya talaka inawabana sana, hawana namna zaidi ya kutumikia ndoa na kuheshimu waume zao