mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,505
- 138,385
Boda boda wote ndiyo walivyo ukienda uganda....burundi.....rwanda
Wanakuwaga na mzukaa
Kitambo sana nlikuwa Kampala enzi Hizo bongo boda boda hazijaingia...vurugu nlizozionaga Huko ndiyo nkaziona na hapa tena....kwa kifupi watu wa Pikipiki ma raider huwa wako raff
Hata wale waendesha Pikipiki za michezo wanaokuwa kikundi ukikutana nao kama uko kwenye Gari utapagawa
Ova