Wazo zuri sana mdau.kuwa na wabunge 400 ni matumizi mabaya ya fedha
Tuondoe Wakuu wa Mikoa na Wilaya ila Wabunge wapunguziwe mishahara au poshoWazo zuri sana mdau.kuwa na wabunge 400 ni matumizi mabaya ya fedha
Tuondoe Wakuu wa Mikoa na Wilaya ila Wabunge wapunguziwe mishahara au posho
Kwakweli vinchi vya Kiafrika kwa kujitutumua kuna baadhi ya Nchi zilizoendelea Wabunge wanatumia Magari ya kawaidaUkiwaza na gharama za magari wanayopewa unafikiria hivi wanatuonaje?
Sasa wanahangaika na nguvu za kiume huku Msukuma na Lusinde kibajaji wao wametumwa na Ndungai kuwatukana wapinzani, hawapo serious na bajetiWabunge wetu bahati mbaya wamekuwa ni wachumia matumbo, na ukianza kuwasemea maslahi yao, utashangaa utajua hakuna upinzani, wataungana na lao litakuwa moja...
Sasa wanakula posho kwenda kujadili nguvu za kiumeWabunge ni kundi la watu watumia kodi za wadanganyika hovyo
Wengi mno hata mataifa tajiri hawana huo umati wa wabunge hivyoWazo zuri sana mdau.kuwa na wabunge 400 ni matumizi mabaya ya fedha
Hao ndio Waasisi wa Bunge halafu njoo kwa malimbukeni wa huku kwetuKweli kabisa mkuu. Wewe angalia kama bunge la UK (House of Commons) wanakaa kwenye mabenchi ila huku kwetu viti vya starehe watu wanasinzia na kujambiana hovyo tu.View attachment 1756041
Wana lao jambo, hiyo ni distraction tu, kutakuwa na kitu kitapita bila ya sisi kujua, kitu cha kuumiza wananchi, wanatupoteza maboya.Sasa wanahangaika na nguvu za kiume huku Msukuma na Lusinde kibajaji wao wametumwa na Ndungai kuwatukana wapinzani, hawapo serious na bajeti
Tuondoe Wakuu wa Mikoa na Wilaya ila Wabunge wapunguziwe mishahara au posho
Tuondoe Wakuu wa Mikoa na Wilaya ila Wabunge wapunguziwe mishahara au posho
Wabunge wetu bahati mbaya wamekuwa ni wachumia matumbo, na ukianza kuwasemea maslahi yao, utashangaa utajua hakuna upinzani, wataungana na lao litakuwa moja.
Watakuambia wana kazi nyingi, kazi za kupigana vijembe!
Kenyatta alithubutu, akafyekelea mbali mishahara iliyokuwa mzigo alipoingia ofisini.
Everyday is Saturday............................... 😎