Nashauri tuachane na Mchanga na tuthamini uhai wetu

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
10,549
35,110
Tangu maghufuli aingie madarakani Mengi ameyafanya, kuanzia kutumbua watu, fukuza fukuza ya vyeti feki, ongezeko la mapato na mengine mengi, ila nimegundua kuwa ni maigizo tu wala hamna faida yoyte hasa kwangu mimi kama mwananchi.

Sijaona faida ya kutumbua, sijaona faida ya kufukuza wenye vyeti feki, zaidi ya yote hali imekuwa ngumu tangu aingie madarakani, nilitegemea kwa action anazofanya basi mimi kama mwananchi nipate ahueni ya Maisha, lakini hamna kitu, na hata hiyo mikataba ikiwekwa sawa bado hali itakuwa ileile...

Kama wafiwa walidhulumiwa rambi rambi zao na hata wahanga wa tetemeko kule bukoba walidhulumiwa hela zao na maisha kuwa magumu zaidi, bomoa bomoa inayoathri wanainchi bila faida yoyte kwao....Hili la mchanga litaleta balaa zaidi.

Tusije geuzwa kama libya kwa maamuzi ambayo hayatakuwa hata na faida kwa wananchi...Nahsi haya maamuzi yanaweza kuharibu ratiba ya Mungu kuhusu Uhai wangu...Tukigeuzwa kama libya au zimbabwe tutakosa hata ttulicho nacho...
 
Tangu maghufuli aingie madarakani Mengi ameyafanya, kuanzia kutumbua watu, fukuza fukuza ya vyeti feki, ongezeko la mapato na mengine mengi, ila nimegundua kuwa ni maigizo tu wala hamna faida yoyte hasa kwangu mimi kama mwananchi...Sijaona faida ya kutumbua, sijaona faida ya kufukuza wenye vyeti feki, zaidi ya yote hali imekuwa ngumu tangu aingie madarakani, nilitegemea kwa action anazofanya basi mimi kama mwananchi nipate ahueni ya Maisha, lakini hamna kitu, na hata hiyo mikataba ikiwekwa sawa bado hali itakuwa ileile...

Kama wafiwa walidhulumiwa rambi rambi zao na hata wahanga wa tetemeko kule bukoba walidhulumiwa hela zao na maisha kuwa magumu zaidi, bomoa bomoa inayoathri wanainchi bila faida yoyte kwao....Hili la mchanga litaleta balaa zaidi....Tusije geuzwa kama libya kwa maamuzi ambayo hayatakuwa hata na faida kwa wananchi...Nahsi haya maamuzi yanaweza kuharibu ratiba ya Mungu kuhusu Uhai wangu...Tukigeuzwa kama libya au zimbabwe tutakosa hata ttulicho nacho...


hahahahaha uwiiiii!!!!!
jamani,unaogopa kufa?
pole sana,sisi bukoba baba jesca alitutabilia kufa ivyo hatuogopi
nasubili jamaa aburuzwe mahakamani ili wake kumpigia magoti kamanda lisu
 
Back
Top Bottom