Ila wakifuatilia hizi jumbe kwenye magari basi wafuatilie na vituo maana kuna kituo juzikati nilipanda gari, kuna jamaa akaomba ashushwe, jina la kituo ndio shida, pembeni kuna makaburi eti wanaita "mwisho wa nyodo"[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]