Nashauri Sumatra wamulike misemo kwenye bajaji na dalala

Nashauri Sumatra wamulike misemo kwenye bajaji na dalala

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
Kuna misemo mingine hayafundishi na hayana tija kwa watembea miguu na wengine...misemo mingine sio ya kistaarabu
FB_IMG_1520932275010.jpg
FB_IMG_1520932542631.jpg
FB_IMG_1520932239303.jpg
FB_IMG_1520932656514.jpg
FB_IMG_1520932937221.jpg
 
yaan waache kupigwa kiyoyozi waanze kuhangaika na misemo ya kijinga
 
SUMATRA walivyo na weledi na usikivu kwa raia wanaweza kuanza kideal nao kweli
 
Siku moja nilikuwa barabaran likanipita fusso limeandikwa" MWISHO WA USHAROBARO MAJUKUMU"
Nilicheka sana maana nilikumbuka maisha nikiwa sijaoa halafu pamoja na nashughuli zangu baba alikuwa anadiliki kuniongezea pesa pia.
Nilikuwa nafanya starehe nitakavyo hata geto nilikuwa silali yaan nilikuwa nabadili gest tu. Lakn ikafika wakat wake ambao hata kuichenji elf 10 ikawa shida. Sasa hivi mademu Nawapita kama siwaoni hata kuwatamani hakupo tena.

Naweza kuwataman mpaka niangalie kama kuna hela ambayo ipo ipo tu nayo wakat mwingne naona bora nikatandike bia tu..

Maisha ni elimu tosha
 
Ww hayo maandishi kwa nini unayasoma kama hayakuhusu,
 
Back
Top Bottom