BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,130
- 22,909
- Thread starter
- #21
Uko sahihi, by the time umemaliza kusoma unakuwa umewatengenezea watu fulani utajiri wa kutosha. MAMILIONIelimu ni biashara
Uko sahihi, by the time umemaliza kusoma unakuwa umewatengenezea watu fulani utajiri wa kutosha. MAMILIONIelimu ni biashara
Uchafu wa haja.Hakuna elimu Tz ni uchafu tu madogo wanalishwa
Stori tu hizi.Ungesema mfumo wa elimu ubadilishwe
Madogo yana nafuu 🥴🥴Mbna mabwakuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ufundi magari na CHEREHANISerikali iwekeze sana kwenye elimu ya ufundi
Tena haifaiElimu ya Tanzania kiujumla ni rabishi