Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,276
Haha!Na unga mkono hoja.
Sisalimiagi watu shikamoo na siitikiagi
HahahahahaHaha inachekesha lakini ni sense, shikamoo ni utumwa tu mimi pia siipendi "shikamoo" na kwakuipinga nimeshaanza kutoka nyumbani ninapoishi wazee nawasalimia kwa nyakati na salamu zingine kama mambo, vipi, za uzima n.k
#Shikamoo ni kelele tu
NdioMaana ya shikamoo yenyewe nasikiaga Ni ya hovyo kweli totally utumwa.
Shikamoo maana yake ni nakushika miguu. Kushika miguu ya mtu mzima ni kutaka baraka zake. Ndio maana watu kama wahindi wakisalimia watu wazima lazima wawashike miguu na yule mtu mzima atamshika kichwa huyo anaemsalim, ishara ya kumpa baraka na kumtakia mema.
Ila sisi ni kwasababu tumeirithi tu hatuipi uzito kiasi hiko. Ila ilitakiwa unapotoa salam ya shikamoo upige goti umshike miguu huyo mtu mzima unaemsalimu na yeye akushike kichwa akupe baraka na kukutakia mema.
Hivi kwelii mtu kama le mutuz le kibamiazz unamshika miguu kwelii jomoniii😫😫😫si utapata baraka za kuvuna vibamia tuu mwaka mzima,.kha!!!Shikamoo maana yake ni nakushika miguu. Kushika miguu ya mtu mzima ni kutaka baraka zake. Ndio maana watu kama wahindi wakisalimia watu wazima lazima wawashike miguu na yule mtu mzima atamshika kichwa huyo anaemsalim, ishara ya kumpa baraka na kumtakia mema.
Ila sisi ni kwasababu tumeirithi tu hatuipi uzito kiasi hiko. Ila ilitakiwa unapotoa salam ya shikamoo upige goti umshike miguu huyo mtu mzima unaemsalimu na yeye akushike kichwa akupe baraka na kukutakia mema.
hatari sana izi heshima na imani za kale, kwa maana hiyo sasa tusipotoa au kupokea shikamoo ina maana atupewi baraka na mema kwa wakubwa zetu?Shikamoo maana yake ni nakushika miguu. Kushika miguu ya mtu mzima ni kutaka baraka zake. Ndio maana watu kama wahindi wakisalimia watu wazima lazima wawashike miguu na yule mtu mzima atamshika kichwa huyo anaemsalim, ishara ya kumpa baraka na kumtakia mema.
Ila sisi ni kwasababu tumeirithi tu hatuipi uzito kiasi hiko. Ila ilitakiwa unapotoa salam ya shikamoo upige goti umshike miguu huyo mtu mzima unaemsalimu na yeye akushike kichwa akupe baraka na kukutakia mema.
Mimi napenda Bwana Yesu asifiwe ndo nzuri.tusalimiane kilugha tu
Shikamoo humaanisha hivi...nipo chini ya miguu yako, mimi si lolote kwako, sina thamani juu yako, nakutukuza, unachoagiza kwangu kutekeleza ni wajibu, mimi ni dhaifu kwako, ukitaka kunipiga nipige tu hata siwezi kujitetea kwako mkuu nk.
Kwa muktadha huu inabidi shikamoo ihifadhiwe maktaba ya Taifa.