nikubhilikile uje
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 264
- 243
Ccm Arusha zimebakia bendera tuWewe kama nani? Kura watapiga wana Arusha.
usikaririWewe naona umelivamia jukwaa la siasa kwa taarifa yako Arusha hatuna kabisa haja na ccm na kamwe hatutaichagua ccm daima dumu.....HATUTAICHAGUA CCM KAMWE
chanzo ni nini?Huna ujuwalo kwa wana Arusha jimbo zima diwani mmoja!
Nikariri nini wewe wakati mambo yako wazi? Ccm Arusha imebakia na bendera tuusikariri
Tumewachoka ccm na hatuwataki kabisachanzo ni nini?
Hizo nyimbo hamkuanza leo na hukuanza wewe, wameanza wengi na kipindi kirefu kubwabwaja hayo maneno lkn Arusha ni Lema tuuuuuuTusiongelee ushahabiki wa vyama tuongelee uwalisia kiukwel lema hacpoangalia ccm watampokonya jimbo kwa ss ccm co ya zaman wanaangalia ngome za chadema wanapeleka watu tena wazawa wa humo hyo gambo karetwa kwa kusudi maalumu wakitoka hapo mbeya kwa sugu subir haina haja ya kutukanana muda utanene
Mbeya msahau na kwa taarifa yako na mwanza cdm inarudisha majimbo yake ccm sasa hivi ipo icu na mnaiua nyinyi wenyewe msitafute mchawiTusiongelee ushahabiki wa vyama tuongelee uwalisia kiukwel lema hacpoangalia ccm watampokonya jimbo kwa ss ccm co ya zaman wanaangalia ngome za chadema wanapeleka watu tena wazawa wa humo hyo gambo karetwa kwa kusudi maalumu wakitoka hapo mbeya kwa sugu subir haina haja ya kutukanana muda utanene
Asahau tu labda arudi uvinza atapata huo ubunge siyo kwa ArushaKila la kheri kijana Gambo
Ccm imejiua yenyeweHujawahi kuwa na akili nzuri maana ukimsikia mtu anaongelea ukabila juwa tu ana tatizo la akili
Mmh wewe itakuwa uvccm arusha,Labda Kwenye Kupigana. Mimi ni BAVICHA ila naona Impact yake
Sina njaa kama weweNshonzi lema anakulipa? Hebu tendea haki kazi aliyokupa. Mshauri vizuri
uonaonekana umeingia kwenye siasa juziNikariri nini wewe wakati mambo yako wazi? Ccm Arusha imebakia na bendera tu