Nashauri iwe hivyo kwasababu huyu bwana ameweza kusaidia ujenzi wa shule za kidato cha tano na cha sita katika wilaya ya Hai ukizingatia kila tarafa amejitahidi kujenga shule za kidato cha tano na sita wilayani Hai. huyu bwana anapenda elimu sana ingawa bado hajatupa mahesabu ya pesa za babu na ndg zetu alizo changisha namuomba kikwete amkumbuke kwenye ufalme wake naamini atampa heshima sana. na hii itasaidia kukipoteza chama cha magamba vibaya.