Nashauri kuwe na vyuo vinavyotoa kozi ya kunyoa

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,415
21,110
Nashauri vinyozi na wasusi wawe na vyuo vyao vinavyofundisha kunyoa na kusuka pia zitolewe elimu jinsi ya kuhakikisha usalama kwa mnyoaji au msukaji

Nchi za wenzetu kama vile Germany kama huna cheti huruhusiwi kushika nywele za mtu na kama ikitokea kipindi anasuka au kunyoa akapata matatizo yoyote hiyo saluni inafungwa

Hii sheria ije na Tanzania kwa maana vinyozi wengi hawana elimu kuhusu safety hazard.
 
Na vinyozi wawe Wa kike tu... Wengine hatuna amani dume likiwa nyuma yako, Mara sijui geuka huku ....mara kakushika sikio...afu unasikia pumzi yake!! Mawazo yanaenda mbaaali..kupumuliwa!!!! Bora niwe najinyoa tu kwakweli!!!
 
kuna kaukweli hapa mkuu..
nakumbuka kuna siku jamaa alininyoa kiboya kichwa kilikua kama bustani ya machungwa mpaka niligoma kumlipa

hahahaaaaaaaaaaaa mkuu nimefikiria hio bustani ya machungwa kichwani mwako,lol, naimagine hilo timbwili lake lol
 
Na vinyozi wawe Wa kike tu... Wengine hatuna amani dume likiwa nyuma yako, Mara sijui geuka huku ....mara kakushika sikio...afu unasikia pumzi yake!! Mawazo yanaenda mbaaali..kupumuliwa!!!! Bora niwe najinyoa tu kwakweli!!!
 
Na vinyozi wawe Wa kike tu... Wengine hatuna amani dume likiwa nyuma yako, Mara sijui geuka huku ....mara kakushika sikio...afu unasikia pumzi yake!! Mawazo yanaenda mbaaali..kupumuliwa!!!! Bora niwe najinyoa tu kwakweli!!!
 
Na vinyozi wawe Wa kike tu... Wengine hatuna amani dume likiwa nyuma yako, Mara sijui geuka huku ....mara kakushika sikio...afu unasikia pumzi yake!! Mawazo yanaenda mbaaali..kupumuliwa!!!! Bora niwe najinyoa tu kwakweli!!!
watu mna mawazo ya mbali daah
 
Na vinyozi wawe Wa kike tu... Wengine hatuna amani dume likiwa nyuma yako, Mara sijui geuka huku ....mara kakushika sikio...afu unasikia pumzi yake!! Mawazo yanaenda mbaaali..kupumuliwa!!!! Bora niwe najinyoa tu kwakweli!!!
Uwe makini mkuu! Usiwe unanyoa mara kwa mara kama hali yenyewe ndiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom