Naomba msaada wenu wapenzi kwa wanaofahamu vyuo vinavyotoa kozi fupi za MAFUTA na GESI

Genecandy

JF-Expert Member
Dec 13, 2017
491
882
wasalam wakuu
Jmn naomba msaada wenu wapenzi kwa wanaofahamu vyuo vinavyotoa kozi fupi za MAFUTA na GESI kwa hapa Tz;haijalishi kipo wapi ndani ya Tz mahali popote tu ntafika pse nisaidieni!!

ntashukuru kwa michango yenu
samahanini kwa kuingilia jukwaa nimekimbilia huku nimeona kuna akili kubwaz nyingi;niliweka jukwaa la elimu lkn nimekosa majibu ndo mana nikaja huku Nisameheni jmn!! asanten!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni udsm pekee kwa bongo

Nenda DIT nilisikiaga wanatoa degree ya oil and gas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom