Nashauri dereva wa Lissu apewe ulinzi

Nashauri dereva wa Lissu apewe ulinzi

Nashauri wananchi tujiunge pamoja na kuwadhibiti hawa watu wasiofahamika. Sasa hv nchi hii watu wanauliwa hovyo kama kuku, wengine maiti zinaokotwa mtoni,wengine baharini wengine walikuwa wanataka kukimbia chini ya mikono salama ni shida tupu. Yaani utafikiri nchi inakiu ya damu ya watu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika jambo la msingi mmno. Nakushauri anzisha uzi
 
Kwanza naomba kutoa pole kwa wote walioguswa na tukio la jana, lakini pia naomba kwa wale nitakaowakwaza kwa swali hili pia wanisamehe, naelewa kabisa hasira zao. Ila katika kutaka kuelewa tu. Hivi hali ya dereva ipoje kwa sasa? Je wakati gari inashambuliwa alikuwa ndani ya gari au alikuwa ameshuka? Na pia gari iliyowashambulia ilikuwa nyuma yao au ubavuni kwao? Au washambuliaji walishuka ndani ya gari? Pale gari inapoonekana kwenye picha ndio hapo ilishambuliwa au ilisogezwa mbele na je ni nani aliisogeza?
Kulikuwa na taarifa za mtu mmoja kuchukuliwa kwenye ofisi za CDM Morogoro jana usiku, je ni kweli kuwa sasa hivi CDM inafanya kazi saa 24? Au huyu mtu alikuwa anafanya nini ofisi muda huo?
Nduka umeongea pointi muhimu hapa,ila majibu yote hayo yalitakiwa kutolewa na polisi sio mtu mwingine,hili jambo tumelijadili sana hapa kwa jeshi letu la polisi kuwa la kisasa and to stay away from politics ,but this will never happen under our current ruling party,angalia hizo picha polisi wameshindwa hata kuzungushia police tape ili kulinda crime scene,sasa if we have a police who cant even protect a crime scene what u expect from them?pili kuhusu CDM kufanya kazi masaa 24 huo ni utaratibu wao na wanaweza kuamua kwa democracy yao utendaji wao wa kazi .kinachotokea sasa ndani ya nchi yetu ni full blown ya violent national,na hii imeshakuwa hatari for our future generations.
 
Kwanza naomba kutoa pole kwa wote walioguswa na tukio la jana, lakini pia naomba kwa wale nitakaowakwaza kwa swali hili pia wanisamehe, naelewa kabisa hasira zao. Ila katika kutaka kuelewa tu. Hivi hali ya dereva ipoje kwa sasa? Je wakati gari inashambuliwa alikuwa ndani ya gari au alikuwa ameshuka? Na pia gari iliyowashambulia ilikuwa nyuma yao au ubavuni kwao? Au washambuliaji walishuka ndani ya gari? Pale gari inapoonekana kwenye picha ndio hapo ilishambuliwa au ilisogezwa mbele na je ni nani aliisogeza?
Kulikuwa na taarifa za mtu mmoja kuchukuliwa kwenye ofisi za CDM Morogoro jana usiku, je ni kweli kuwa sasa hivi CDM inafanya kazi saa 24? Au huyu mtu alikuwa anafanya nini ofisi muda huo?
Akiliyako ibakishe hapo hapo Lumumba,wala usijaribu kulisogeza kwa wenye Akili kama sisi,yaani unataka tuamini nini?Pombe ana usika na Bashite baaaassss.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulinzi wa nini?kwa kuhofia kina nani?Think outside the box!Kuna kitabu sikumbuki nani amekiandika kisome pliz.
Title yake ni "KISS THE GIRLS"
 
Hivi mshawahi kusikia mlio wa risasi ???? Unaweza ukajinyeaaa .... [emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]. Hapo cdhani kama angeweza kukumbuka suala La kupiga picha kwa Mvua ya risasi zile
 
Huu mfumo mpya wa namba za gari nao ni shida ni ngumu kukariri T0000 ABC
Mfumo wa zamani ulikuwa poa kabisa yani TZA 12345

Sent from my Phillips Savy
 
Kwanza naomba kutoa pole kwa wote walioguswa na tukio la jana, lakini pia naomba kwa wale nitakaowakwaza kwa swali hili pia wanisamehe, naelewa kabisa hasira zao. Ila katika kutaka kuelewa tu. Hivi hali ya dereva ipoje kwa sasa? Je wakati gari inashambuliwa alikuwa ndani ya gari au alikuwa ameshuka? Na pia gari iliyowashambulia ilikuwa nyuma yao au ubavuni kwao? Au washambuliaji walishuka ndani ya gari? Pale gari inapoonekana kwenye picha ndio hapo ilishambuliwa au ilisogezwa mbele na je ni nani aliisogeza?
Kulikuwa na taarifa za mtu mmoja kuchukuliwa kwenye ofisi za CDM Morogoro jana usiku, je ni kweli kuwa sasa hivi CDM inafanya kazi saa 24? Au huyu mtu alikuwa anafanya nini ofisi muda huo?
umeona matundu ya risasi? unawezaje kuuliza hao shooters walikua nyuma au ubavuni? tumia akili ya kawaida tu
 
Ungekuwa ni miongoni mwa hao "watu wasiojulikana" ungekwenda kwenye operesheni kama hiyo na gari lenye namba zake halisi ?
 
Uko sahihi maana huyu ndie alieiona gari na silaha za kivita kumshambulia lisu
Serikali hapa inahusika
 
Siku hizi si karibu kila gari traffic huwa wanasimamisha, kwa Dodoma padogo sana, traffic was zamu hamkumbuki sura za hawa washamba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari nyingi za kifahari kama hizo za wabunge siku hizi zina Black Box. Kwa hiyo kama ilikuwa nayo everything will be seen.
 
Back
Top Bottom