chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,725
- 31,305
Haya mambo ya na hujuma kila mahali. Jana nadhani yule ni Idda Mushi, ndiye alipewa kazi ya kuripoti ziara ya kampeni.! Naongelea taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku
Kwa kushirikiana na Mhariri wa ITV walikuwa wanaonyesha sehemu ambazo watu hawakukaa kwa sababu ya jua kali, mwisho kabisa wa uwanja ili kuaminisha kwamba watu hawakuwa wengi.
Nashauri team ya kampeni iteue mtu ambaye atakuwa attached permanently kwenye ziara kuachana na mapandikizi. Kila chombo CCM iteue wa kutembea naye