kwa sababu wametajwa tajwa saana kwenye bibilia mkuu, kumbe sio wakristo wala niniIdadi kubwa ya wanaunga mkono Israel wanaamini Israel ni taifa la kikristo
kumbe Israel Ukristo hautambuliwi
Wengine wanaamini Yesu alikuwa Mzungu....au Wayahudi ni wazungu
basi tu ili mradi watu na imani zao
kwa sababu wametajwa tajwa saana kwenye bibilia mkuu, kumbe sio wakristo wala nini
Ubaguzi ni hulka iliyojengeka kwa kila kiumbe si binadamu au wanyama. Ila inafika mahala kwa viumbe wengine wanaamua kukubaliana na kupendana mfano utakuta mbwa na paka wanacheza pamoja kitu ambacho si kawaida.hawa majamaa, Jews, Hebrews, Mayahudi, Waisraeli ni wanajiona wapo special sana, hasa kutokana na zile story za kwenye vitabu vya dini, ambazo zinawaonesha ni watu "special" sana na waliopendelewa na Mungu (Mungu huyuhuyu watu wanaosema yupo fair na hana upendeleo) na wabongo wengi hasa wakristu wafia dini wanawashobokea sana
lakini kitu ambacho hawajui hawa jamaa kwa ubaguzi ndio kama no.1, wanachowafanyia raia wasio na asili ya Israel kinathibitisha hilo hebu someni hii
The plight of Ethiopian Jews in Israel - BBC News
The tribulations of being an Ethiopian Jew
Msengerema kweli weweFANYA YAKO I LOVE ISRAEL & ISRAEL'S PEOPLE.Mwaaaaa...!
wayahudi wamewalemaza sana nyie, wanawafanya kama watumwa wao, they never believed to any prophet, wao dini yao ya kiyahudi ni yao tu, wanawaaminisha eri wap ni taifa teule! Hakika Mungu ametakasika na Upendeleo, kwa Mungu sisi wote ni sawa, thamani yetu itatokana na matendo yetu wala sio utaifa wetuMungu suo kigeukigeu na alisema
"Alaaniwe akulaaniye, abarikiwe anaekibariki". Sasa tuanzie hapo. Yahudi atabaki kuwa yahudi awe mbaguzi au sio m-baguzi. Suala la waTanzania kujitambua na kuheshimu utaifa wao liko pale pale lakini pia Israel iwe inautambua ukristo au la itabaki kuwa Israel ya wayahudi.
....naunga mkono andiko lako ....ubaguzi upo duniani kote siyo israel tuUbaguzi ni hulka iliyojengeka kwa kila kiumbe si binadamu au wanyama. Ila inafika mahala kwa viumbe wengine wanaamua kukubaliana na kupendana mfano utakuta mbwa na paka wanacheza pamoja kitu ambacho si kawaida.
Sisi Binadamu ni wabaguzi kuanzia kwenye familia. Mfano "wewe mwanamke utaniambia nini? au kaa kimya". Huyu mnyamahanga anasema nini? Wakonongo, wakuija, majina kibao tunayo kuonyesha huyu siyo sawa na sisi.
Tumesikia hata wanasiasa wanahutubia kuhusu ubaguzi hapa nchini oho hawa chotara, mara watu wanawashambulia wahindi. Je Mhindi na myahudi ambaye hatujaishi kwake nani mbaguzi? Wahindi tunaishi nao lakini wana mitaa yao, sehemu zao ambapo wazungu wanakaa sehemu ambazo sote tunaishi kama unaweza. Mzungu anaweza kuoa au kuolewa na mwafrika lakini ni waafrika wangapi wameolewa na wahindi? Inawezekana ni wabaguzi kama walivyo waarabu hiyo ni hulka ya binadamu lakini usihukumu kabila moja. Tembea uone. Nenda India, Indonesia, Russia, Portugal ukirudi linganisha na kutofautisha.
hawa majamaa, Jews, Hebrews, Mayahudi, Waisraeli ni wanajiona wapo special sana, hasa kutokana na zile story za kwenye vitabu vya dini, ambazo zinawaonesha ni watu "special" sana na waliopendelewa na Mungu (Mungu huyuhuyu watu wanaosema yupo fair na hana upendeleo) na wabongo wengi hasa wakristu wafia dini wanawashobokea sana
lakini kitu ambacho hawajui hawa jamaa kwa ubaguzi ndio kama no.1, wanachowafanyia raia wasio na asili ya Israel kinathibitisha hilo hebu someni hii
The plight of Ethiopian Jews in Israel - BBC News
The tribulations of being an Ethiopian Jew
Racism in Israel - Wikipedia, the free encyclopedia
watanzania tujipende na tujithamini wenyewe, tuachane na kupenda tusikopendeka