Nashangaa hoja za mapenzi kutawala ilhali mapenzi si mapya

Habari wa za kutwa kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapa jf naona kama hoja za mapenzi zimetawala, sasa nimejiuliza humu ndani kuna nani anayetaka kujua kuhusu mapenzi maana mapenzi yapo toka enzi za mababu na mapenzi kila mtu na stail yake.
Ushauli wangu mjue kuwa mapenzi hayafundishwi kila mtu ana stail yake. Nawakilisha.

Unamuwakilisha nani kwa mfano!?
 
We nanga kweli yani!!! Kwa hiyo ulitaka nini kipya kitawale wakati humu ni MMU!! pendekeza sasa sio unaropoka ropoka tu vitu nusu nusu
 
Ahh.. angekua ametabiri unayemuamini wewe bila shaka ungeamini lkn kwa vile chief katabiri unapuuzia.
 
Mapenz kama elimu tu, Leo mtu anamaliza pHD kesho mtoto anaanza chekechea kuanza kuitafuta hiyohiyo pHD... so mapenzi uwanja mpana mzee na hayanaga mjuzi.... sanasana tunazidiana.
 
Back
Top Bottom