Kama hivi ulivyofanya inatosha maana dah.....
Dah, mkuu unajua kuna Comment ukizisoma unaweza kuua mtu? Mi nimeandikaKama hutaki ushauri usingeandika. Mie nakushauri unyamaze. Unadhani kusema kila kitu ni msaada? Je umeudhika sana? Je ni kweli kichwa kinamuuma au mengine? Je ukichukia ndiyo jibu? Wewe unaonaje hali hii? Unatushauri tukushaurije? Je unaonaje ukisoma haya kimya kimya ili uwe kimya bila kusema? Ngoja nikae kimya.
Kama hutaki ushauri usingeandika. Mie nakushauri unyamaze. Unadhani kusema kila kitu ni msaada? Je umeudhika sana? Je ni kweli kichwa kinamuuma au mengine? Je ukichukia ndiyo jibu? Wewe unaonaje hali hii? Unatushauri tukushaurije? Je unaonaje ukisoma haya kimya kimya ili uwe kimya bila kusema? Ngoja nikae kimya.
Dah, mkuu unajua kuna Comment ukizisoma unaweza kuua mtu? Mi nimeandika
tu maana kuna mtu kanishauri hivyo kasema bora niyatoe ili uchungu upungue.
nafikiri huyu haitaji ushauri anahitaji tuchakachue thread yake muda uende.
Nitakujibu baadhi ya maswali. Kuna Comment mfano, ASHAKUM SI MATUSI - Anamegwa huyo, huna chako mkuu, anakuchuna tu n.k. Hizi zinaweza kukufanya usimalize mambo kwa njia nzuri. Ndio nilizoziogopa.Mwanangu Gazeti, una maana uliposoma comment yangu ulitamani uniue mimi au huyo mtu wako? Je unaweza kurudisha roho nyuma ili usiendelee kujiumiza na mihasira? Je unakunywa kanywaji gani? Je una mshiko kwa sasa au unataka ofa? Je umri wako ni miaka mingapi? Huyo mtu wako ni mtu wa namna gani? Naona swali moja linatosha kwa leo.
Tutaichakachua kinamna hivyo kama uonavyo miswali mia kidogo. Kwani kuongeza maudhi lazima umpige mtu mitusi? Yanini kutukana ukaondoka na ban?