Je! Mh Nasari akipitishwa na chama chake anaweza kugombea tena Ubunge katika Jimbo hilo?

nyumbamungu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
1,012
843
Jana na leo kwenye mitandao ya jamii na vyombo vya habari, iliripotiwa kuwa Jimbo la Arumeru Mashariki alilokuwa analiwakilisha Mh Joshua Nasari, lipo wazi. Sababu zilizotajwa na Mh Spika ni kutohudhuria mikutano mitatu mfululizo. Sina tatizo na utaratibu uliotumika.

Naomba Muongozo kwa Mh Spika, Je! Mh Nasari akipitishwa na chama chake anaweza kugombea tena Ubunge katika Jimbo hilo? Katiba na Kanuni zinasemaje? Nyongeza ndogo kama leo hii Mh Nasari atakutana na vyombo vya habari akaunga juhudi za Mh Rais na kuamua kuungana naye anaweza pewa nafasi ya kugombea Ubunge??

Nawasilisha.
 
Kwa jinsi nilivyomsoma Tundu Antipas Lisu huyo Joshua bado ni mbunge halali wa Arumeru mashariki.

Mwezi Novemba alikuwepo bungeni na alisaini daftari ya mahudhurio.
Kuna kijana kamuingiza chaka Job!
 
Back
Top Bottom