Jamani huyu mgombea wa CHADEMA, nimemsikiliza sasa hivi kupitia TBC analeta mambo kama ya Slaa ya kushusha bei ya cement, huyu anawaambia wananchi msimchaguwe mgmbea wa CCM, minichaguwa mimi bei ya sukari haipandi na itashuka.
Cha kushangaza ni kuwa hasemi itashuka vipi? ana mashamba ya Miwa? ana viwanda vya sukari? atatoa ruzuku kutoka mfukoni mwake?
Mambo mengine ya kushangaza sana.
Mleta mada uko kwenye club ya Piwa!Jamani huyu mgombea wa CHADEMA, nimemsikiliza sasa hivi kupitia TBC analeta mambo kama ya Slaa ya kushusha bei ya cement, huyu anawaambia wananchi msimchaguwe mgmbea wa CCM, minichaguwa mimi bei ya sukari haipandi na itashuka.
Cha kushangaza ni kuwa hasemi itashuka vipi? ana mashamba ya Miwa? ana viwanda vya sukari? atatoa ruzuku kutoka mfukoni mwake?
Mambo mengine ya kushangaza sana.
Jamani huyu mgombea wa CHADEMA, nimemsikiliza sasa hivi kupitia TBC analeta mambo kama ya Slaa ya kushusha bei ya cement, huyu anawaambia wananchi msimchaguwe mgmbea wa CCM, minichaguwa mimi bei ya sukari haipandi na itashuka.
Cha kushangaza ni kuwa hasemi itashuka vipi? ana mashamba ya Miwa? ana viwanda vya sukari? atatoa ruzuku kutoka mfukoni mwake?
Mambo mengine ya kushangaza sana.
Wewe umetokea dirisha lipi?
Maana we mwenyewe ni mgeni machoni pangu humu Jf!
Naona kama umetumwa lakini nina ujumbe nataka nikwambie uwafikishie hao wajinga wenzio wa bendera ya kijani,
Kawaambie! Waache mambo miaka 47 iliyopita kwani karne hii watu wako macho zaidi ya mtazamavyo na macho yenu ya makengeza ya kushoto.
na wewe mume apate wapi huyu sema hawara wake alipokuwa akiro[poka mbona akuja na thread asubiri wanaume wapige kazi kaa kimya mdomo ukiwasha ukishindwa kuna machine ya kusutua mifomo ya kichina iko sinza pmmleta mada uko kwenye club ya piwa!
Mume wako aliposema kuwa ataleta maisha bora kwa kila mtanzania alieleza atayatoa wapi?
Acha kuwaza kwa upeo wa pua yako wewe kidakuz!
Jamani huyu mgombea wa CHADEMA, nimemsikiliza sasa hivi kupitia TBC analeta mambo kama ya Slaa ya kushusha bei ya cement, huyu anawaambia wananchi msimchaguwe mgmbea wa CCM, minichaguwa mimi bei ya sukari haipandi na itashuka.
Cha kushangaza ni kuwa hasemi itashuka vipi? ana mashamba ya Miwa? ana viwanda vya sukari? atatoa ruzuku kutoka mfukoni mwake?
Mambo mengine ya kushangaza sana.
Kazi kwelikweli Siasa za Bongo Mchezo mchafu, mwambie dogo asije chemsha, ata waziri mwenyewe ameshindwa kushusha izo bei.
na wewe ni wale wa tbc,karne hii bado mnaiamini hii tv ya magamba?poleni
Uko kwa magamba kuna masoga wengitu kama sioi.Wewe umetokea dirisha lipi?