Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 908
Mimi nilikuwa napenda sana mchezo wa baba na mama!
Sijuiiii Sijuiiiiiii. Wa mwisho akamatwe......
Haaaa huu wa kioo ndio nimeuchanganya na huo nasaka mke wangu. Huu w aki ndio ulikuwa wa kuvutana. Au sio Jestina? Nishasahu Nasaka mchezo wa nasakam mke wangu scene ya mwisho nini kilitokea. kuna yeyote anakumbuka
tulikuwa tunasimama duara tumeshikana mikono, then mke wako anakaa ndani ya duara. Mwishoni ile...
huu mti gani...
wa mchongoma...
nikiukata...etc
then unazunguka, kisha unakata mti (aka ile mikono ilishikana) mkeo anatoka na kukimbia unamkimbiza hadi umkamate...kumbuka steringi hafi, lol
Mimi nilikuwa napenda sana mchezo wa baba na mama!
mimi nimekuwa mkubwa
nimeshangazwa na ule wimbo wa ukuti ukuti....
kwa sababu kwenye ule wimbo wanasema tumpeleke mnazi mmoja...
enzi tupo watoto tulikuwa tunatumia hospitali ya mnazi mmoja na sikuona ajabu
leo tanzania nzima wanaujua ule wimbo but swali ni kwa nini wote tuliimba mnazi mmoja?????
Hivi sasa hivi at age 5 ,6 watoto wancheza nini ?
Watoto wangu eeh....mimi baba yenu.....eeeh, sina nguvu tena.....eeeh, za kuuwa simba.....