" Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
Sasa mkuu unataka aseme imara wakati sio kweli?we mwenywe hapo kama sio kujipendekeza kwa upande fulani unajua kabisa kua bunge ni dhaifu kidemokrasia isipokua inatumika nguvu nyingi kuzimisha harakati za kuhoji mambo ya msingi rejea kunyanyaswa kwa wabunge wa upinzani na pia kutokuonyeshwa live kwa bunge hii yote ni kujaribu kuficha ubabe wa bunge letu katika kuminya demokrasia ifike mahali watanzania tuwe wakweli tusiendeshwe na unafiki na njaa zetu ikumbukwe haya ni maisha tutapita na tutaiacha Nchi hii kwa watoto na wajukuu wetu sio vizuri kua wanafiki katika mambo ya msingi kiujumla namuunga Mkono Prof Assad Ndugai hana hoja ya msingi kwa nini bunge sio dhaifu isipokuwa anazungumza kwa mihemko na anaendeleza tabia ileile ya ubabe ambao kidemokrasia hauna tija kabisa zaidi ya kutaka kujipendekeza au pengine yuko pale kulinda kundi flani rejea hotuba yake ya janaDhaifu sio neno la kitaaluma ...tuache utani...wahasibu mmekosa maneno ya kitaaluma?
Ulikula hasara sana.Mwl. na Professor wangu Mkumboooooo
Speaker ni mbabe, anakosea anapopeleka ubabe kwa mtu ambae hababaiki. Prof Assad anajulikana kwa kutoyumbishwa kwa kile anachokiamini, na muumini halisia wa imani yake. Prof Mkumbo tangu ajiingize kwenye mambo ya kisiasa, yy huwa anafuata mkumbo kulingana na upepo unavyovuma, ni aina ya watu ambao leo anaweza kutetea hili na kesho akageuka (kulingana na upepo). Yote kwa yote, kwakua tayari bunge lilishasema kuhusu CAG, likamwita na kumhoji, ni muda muafaka spika akanyamaza na kuangazia maendeleo ya nchi maana kuendelea kumkonalia CAG ni kama kumshurutisha, kitu ambacho hakina mantiki kwa nchiSasa mkuu unataka aseme imara wakati sio kweli?we mwenywe hapo kama sio kujipendekeza kwa upande fulani unajua kabisa kua bunge ni dhaifu kidemokrasia isipokua inatumika nguvu nyingi kuzimisha harakati za kuhoji mambo ya msingi rejea kunyanyaswa kwa wabunge wa upinzani na pia kutokuonyeshwa live kwa bunge hii yote ni kujaribu kuficha ubabe wa bunge letu katika kuminya demokrasia ifike mahali watanzania tuwe wakweli tusiendeshwe na unafiki na njaa zetu ikumbukwe haya ni maisha tutapita na tutaiacha Nchi hii kwa watoto na wajukuu wetu sio vizuri kua wanafiki katika mambo ya msingi kiujumla namuunga Mkono Prof Assad Ndugai hana hoja ya msingi kwa nini bunge sio dhaifu isipokuwa anazungumza kwa mihemko na anaendeleza tabia ileile ya ubabe ambao kidemokrasia hauna tija kabisa zaidi ya kutaka kujipendekeza au pengine yuko pale kulinda kundi flani rejea hotuba yake ya jana
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza mkuu safi sanaaAombe radhi kwa kutamka neno la kitaaluma?!
Hivi daktari akikwambia unaumwa au kinywa chako kinatoa harufu utamuambia akuombe radhi?
Hit direct to the Ntonku
Unarefer report ipi ya CAG iliyosema haya??Katika ukaguzi wowote huwa una matokeo mawili makubwa, STRENGTHS na WEAKNESSES.
Bunge letu katika utendaji wake limeonesha na lina STRENGTHS na WEAKNESSES.
Sasa Bunge halitaki ulieleezee WEAKNESSES zake, It simply allows positive signals and not negative ones.
Na katika hili Bunge limefanana na serikali,
So far sijamuona msomi yoyote aliyemuunga mkono Assad ....nawaona watu aina ya Mange Kimambi ndio wanaompa ujasiri wa mbwa kokoHawa ndio wale watu wakiwa nje ya chama huwa wanaongoza kwa hoja nzuri sana, wakihamia serikalini wako tayari kuyasaliti mawazo yao mazuri ili wale.
Yuko tayari kuwasaliti umma ili awafurahishe bwana wakubwa.
Kiufupi watu wa aina hii walishiriki kuwafichua ndugu zetu walipojificha ili wauzwe ulaya na marekani kama watumwa ili kuwafurahisha mabwenyenye
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna adabu wewe Bonde la Baraka njoo mshikishe adabu huyuNani yupo nyuma ya CAG anayempa msimamo wa Kimbwa koko?
Msamaha huombwa kwa sababu ya kukosea... Vinginevyo ni unafiki uliotukuka" Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
Kitila Mkumbo tapeli wa kisiasa, mchumia tumbo aliyeingia siasa kwa kufuata mkumbo." Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
Mfuteni kazi ili muondokane na neno dhaifu katika ukaguzi,maana imekuwa ni upuuzi kumlazimisha mtu kwa kosa ambalo si lakeAsadi inaelekea anasoma sana maoni ya humu JF. Na anavutiwa sana na ushabiki wa nyumbu ambao chama chao kinakufa kwa ushabiki huo wa kijinga na ujuaji mwingi.
Ushauri wa Kitila ni wa busara sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbwakoko ana msimamo! Au hujui maana ya msimamo na mbwakoko yukoje.Nani yupo nyuma ya CAG anayempa msimamo wa Kimbwa koko?