Nilidhani waache kabisa....kumbe!Haya kila la heri kwenye uzinzi wenu...mlaaniwe kuliko viumbe vyote katika dunia hii na malipo yenu yawe hapa hapa duniani!Sasa mamushka si ndo maana nawakumbusha wanachama wangonoke responsibly ili tusizidi kubaki wachache?
Kweli kabisa tena imeandikwa mpende adui yako!Hapa mnalaaniana au mnashauriana kucheat au kujikinga na maambukizi mapya?. . . Wengine wanayo yazamani tayari.
By the way, amlaaniye binadamu mwenzie badala ya kumuombea heri anatenda dhambi ya mauti.
Shindwa lakini usilegee......ianze na wewe Iribini!
Natamani nikuelewe hapa lakini nimeshindwa...... ila mi naamini dhambi zote sawa.... yaani ukimbaka mbwa ni sawa na aliyemmega mke wa mtu ni sawa na aliyeiba shilingi mia ni sawa na aliyekwapua kama Rostam Aziz....ooh na wanaochiti wanatenda dhambi gani? Na hizo mbili zinatofauti gani?
Sasa mamushka kuliko upate dhambi ya kuiba vijisenti si bora upate zambi ya kula uroda? manake zote hizo ziko sawa.....na moto ni ule ule....hujanielewa lakini umejibu vyema hasa. lol...haya mkubwa ila mi sishindwagi kirahisi hivo.
Adui mpende.....heheeehee! Mi nawapenda adui zangu, we mwenyewe shahidi. (kwani kuwaombeeni laana ni lazima iwapate? Diskresheni si inabaki kwa mtoa laana? Nyie vipi)
Wanachagua dhambi hawa.Wanawadanganya waajiri wao, wanatiana na maboy friend zao, wanatutamani sisi waume wa wanawake wenzao, wanalitaja bure jina la Mungu, eti ooh God im Cum'n!Kweli kabisa tena imeandikwa mpende adui yako! Shindwa lakini usilegee...... Natamani nikuelewe hapa lakini nimeshindwa...... ila mi naamini dhambi zote sawa.... yaani ukimbaka mbwa ni sawa na aliyemmega mke wa mtu ni sawa na aliyeiba shilingi mia ni sawa na aliyekwapua kama Rostam Aziz....
Sasa kwa nn uibe na kwa nini ule uroda nje ya mipaka yako? Hutosheki au tamaa zako na kujiendekeza tu?Sasa mamushka kuliko upate dhambi ya kuiba vijisenti si bora upate zambi ya kula uroda? manake zote hizo ziko sawa.....na moto ni ule ule....
Afadhali umesema...Kwa kuwa sisi si watakatifu, ukiacha mwanya wa udhaifu, udhaifu utageuka uhalifu, na dhahiri maovu yatakifu, unaanza na mwanya mdogo mwisho unakuwa kibogoyo kabisa katika nyanya zote.
Mamushka hebu msome huyu mtumishi wa Mungu hapa chini.........Sasa kwa nn uibe na kwa nini ule uroda nje ya mipaka yako? Hutosheki au tamaa zako na kujiendekeza tu?
Si umeona muzee.... hawajui hata kutamani nako ni dhambi......... sasa kuliko upigwe moto kwa kutamani, si bora ule kitu mazima............ responsibly lakini.............Wanachagua dhambi hawa.Wanawadanganya waajiri wao, wanatiana na maboy friend zao, wanatutamani sisi waume wa wanawake wenzao, wanalitaja bure jina la Mungu, eti ooh God im Cum'n!
Aiseee......... umekua sasa!Kwa kuwa sisi si watakatifu, ukiacha mwanya wa udhaifu, udhaifu utageuka uhalifu, na dhahiri maovu yatakifu, unaanza na mwanya mdogo mwisho unakuwa kibogoyo kabisa katika nyanya zote.
Wanachagua dhambi hawa.Wanawadanganya waajiri wao, wanatiana na maboy friend zao, wanatutamani sisi waume wa wanawake wenzao, wanalitaja bure jina la Mungu, eti ooh God im Cum'n!
Umeona eh!Itafute sana hekima.Haha hii kweli kiboko..........Babu ushauri mzuri thanks.
Umeona eh!Itafute sana hekima.
Hapo kwenye kula kitu mazima badala ya kuishia kutamani hapo!Asee, pata appetite kwa bht then huyooo unaenda kumaliza appetite kwa mama matesha.Au huwezi kupata appetite ya ubwabwa ukaenda kula makande?Halafu ODM, hebu jaribu kucheat na mama matesha one time.Namba 17 kwenye comfy!Mamushka hebu msome huyu mtumishi wa Mungu hapa chini.........Si umeona muzee.... hawajui hata kutamani nako ni dhambi......... sasa kuliko upigwe moto kwa kutamani, si bora ule kitu mazima............ responsibly lakini............. Aiseee......... umekua sasa!