Zanzibar Spices nahitaji birika la kuchemshia maji uninunulie na kunitumia kwa huyu jamaa nipm namba yako nikurushie pesa.
mkuu ni pm namba yako fasta, kuna ndugu yangu ana mzigo anataka kuuleta huku bara (friji) kutokeA zanzibar ila hana mtu wa kusafirisha huo mzigo
mkuu,friji kwa meli yangu itakua ngumu na kulitoa dar itakua ni ghali sana,mwambie alisafirishe kwa flying horse usiku.
nasafirisha parcel ndogo ndogo kati ya dar na zanzibar...
Duration maximum 3 days and below..
Price 5000 tu....
Karibuni.