Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
unajua nini!!watu wanajifanya hawaelewi,mie sijesema siku tatu,nimesema maximum 3 days,inashuka zaidi ya hapo hata siku moja tu,inategemea...ndio nipo bandarini...na utaratibu mtu anaufuata bandarini zanzibar.
Ni pm tufanye kazi kama tutaenda sawa.
Ila mim huwa sitaki mzigo wangu ulale, nikituma napenda mtu aupate siku hiyo hiyo,