Nasafiri lakini nahisi nitachapiwa

Sina jinsi nitakua nje ya nchi kwa mwezi huu wote labda mambo yakienda vizuri wakati wa siku kuu nitarudi japo possibility ni ndogo ni safari ya kikazi(sio ya kiserikali) hofu yangu kubwa ni kuchapiwa my bloody nampenda sana lakini watu wanamsumbua sana wakimdannganya wajanja wa mjini nimeisha maana nimemuachia kila kitu funguo ya gari funguo ya nyumba japo yupo chuo na biashara zangu atasimamia yeye jamani have respect on my girlfriend sitaki mumsumbue pleaseeeeeeee

Hahahahaaa! Roho inaacha mwili.
 
sina jinsi nitakua nje ya nchi kwa mwezi huu wote labda mambo yakienda vizuri wakati wa siku kuu nitarudi japo possibility ni ndogo ni safari ya kikazi(sio ya kiserikali) hofu yangu kubwa ni kuchapiwa my bloody nampenda sana lakini watu wanamsumbua sana wakimdannganya wajanja wa mjini nimeisha maana nimemuachia kila kitu funguo ya gari funguo ya nyumba japo yupo chuo na biashara zangu atasimamia yeye jamani have respect on my girlfriend sitaki mumsumbue pleaseeeeeeee

dawa yake ni ndogo mno, ungenunua solex ya bei kali halafu ukafunga funguo ungeenda nazo , hapo mchezo umeishia hapo hadi utakapo rudi full stop no more no less
 
sina jinsi nitakua nje ya nchi kwa mwezi huu wote labda mambo yakienda vizuri wakati wa siku kuu nitarudi japo possibility ni ndogo ni safari ya kikazi(sio ya kiserikali) hofu yangu kubwa ni kuchapiwa my bloody nampenda sana lakini watu wanamsumbua sana wakimdannganya wajanja wa mjini nimeisha maana nimemuachia kila kitu funguo ya gari funguo ya nyumba japo yupo chuo na biashara zangu atasimamia yeye jamani have respect on my girlfriend sitaki mumsumbue pleaseeeeeeee

dawa ni kununua solex , funga nenda na funguo, hadi utakaporudi.
 
I love dancing, karibu tudance at your risk ila ukipigwa mtama am not responsible looh
Pumpkin songs are soo sweet yuuuhhuuuuuu

Atakae nipiga mtama anatafuta vita kuu...

I will enjoy dancing na sweet mama.. ha ha
 
Sina jinsi nitakua nje ya nchi kwa mwezi huu wote labda mambo yakienda vizuri wakati wa siku kuu nitarudi japo possibility ni ndogo ni safari ya kikazi(sio ya kiserikali) hofu yangu kubwa ni kuchapiwa my bloody nampenda sana lakini watu wanamsumbua sana wakimdannganya wajanja wa mjini nimeisha maana nimemuachia kila kitu funguo ya gari funguo ya nyumba japo yupo chuo na biashara zangu atasimamia yeye jamani have respect on my girlfriend sitaki mumsumbue pleaseeeeeeee

kama na wewe unawachapia wenzio , fahamu tu na wewe
muda wako wa kuchapiwa umewadia. Nakutakia mchapio mwema.

NB: kumbuka kuwa Muosha huoshwa .
 
Sina jinsi nitakua nje ya nchi kwa mwezi huu wote labda mambo yakienda vizuri wakati wa siku kuu nitarudi japo possibility ni ndogo ni safari ya kikazi(sio ya kiserikali) hofu yangu kubwa ni kuchapiwa my bloody nampenda sana lakini watu wanamsumbua sana wakimdannganya wajanja wa mjini nimeisha maana nimemuachia kila kitu funguo ya gari funguo ya nyumba japo yupo chuo na biashara zangu atasimamia yeye jamani have respect on my girlfriend sitaki mumsumbue pleaseeeeeeee

Hana magonjwa ya maabukizi kama kaswende, vvu? Kama yuko fiti itabidi nimtafute nimoe ujumbe kuwa una hofu naye kuibiwa. Naomba namba yake ya simu nikusaidie kumchunga.
 
Wanawake hawaaminiki siku hizi uwezi kumwachia vitu vyote hivyo wewe usije ukajuta kumwachia mali zako
 
hivi nyie bado amjakoma tu kuwaamini hao viumbe waliomsaliti mungu tena peponi kivulini unadhani atashindwa kukusaliti duniani tena juani...Jinga kabisa unamwachia demu wako kila kitu kwani una ndugu na jamaa wewe unadhani demu wako ni ndugu yako?!

sasa wewe nenda ukirudi usije kuja kulia lia hapa kuwa kauza kila kitu na kishaolewa
 
Hata ukiwa karibu yake unaweza kuchapiwa na wala usijue, in short kama mtu ni mwaminifu hata usafiri mwaka mzima atajiheshimu, lakini kama ni kiruka njia lazima wakusaidie tena mchepuko ndo utakua unadrive gari yako mjini teh teh
 
Aisee bado hujapaa tu maana kwa ku post hii thread ni sawa umechukua mbuzi na kwenda kumkabidhi chui akutunzie mbuzi wako definitely utamkuta mbuzi keshaliwa!
 
Sina jinsi nitakua nje ya nchi kwa mwezi huu wote labda mambo yakienda vizuri wakati wa siku kuu nitarudi japo possibility ni ndogo ni safari ya kikazi(sio ya kiserikali) hofu yangu kubwa ni kuchapiwa my bloody nampenda sana lakini watu wanamsumbua sana wakimdannganya wajanja wa mjini nimeisha.

Maana nimemuachia kila kitu funguo ya gari funguo ya nyumba japo yupo chuo na biashara zangu atasimamia yeye

Jamani have respect on my girlfriend sitaki mumsumbue pleaseee!

nahisi hisi ndio huyo ambaye ana promise na mimi mume wake akiondoka....mh mzewe sitamuacha ntachapa TU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom