Nasafiri lakini nahisi nitachapiwa

Nasafiri lakini nahisi nitachapiwa

Status
Not open for further replies.
Na watu mechi za wizi huwa wanajituma kinyama wakufunike mwenye mali, uonekane mjinga mjinga
 
Sina jinsi nitakua nje ya nchi kwa mwezi huu wote labda mambo yakienda vizuri wakati wa siku kuu nitarudi japo possibility ni ndogo ni safari ya kikazi(sio ya kiserikali) hofu yangu kubwa ni kuchapiwa my bloody nampenda sana lakini watu wanamsumbua sana wakimdannganya wajanja wa mjini nimeisha maana nimemuachia kila kitu funguo ya gari funguo ya nyumba japo yupo chuo na biashara zangu atasimamia yeye jamani have respect on my girlfriend sitaki mumsumbue pleaseeeeeeee

nani alikwambia girl friend ni mali yako binafsi? badala ya kumwachia ndugu yako wa dam ili hata akiharibu au akiiba anufaishe ukoo, wewe unamwachia malaya. unachotafta utakipata
 
Sina jinsi nitakua nje ya nchi kwa mwezi huu wote labda mambo yakienda vizuri wakati wa siku kuu nitarudi japo possibility ni ndogo ni safari ya kikazi(sio ya kiserikali) hofu yangu kubwa ni kuchapiwa my bloody nampenda sana lakini watu wanamsumbua sana wakimdannganya wajanja wa mjini nimeisha maana nimemuachia kila kitu funguo ya gari funguo ya nyumba japo yupo chuo na biashara zangu atasimamia yeye jamani have respect on my girlfriend sitaki mumsumbue pleaseeeeeeee

Eee bwana eee kuchapiwa siku hizi ni lazima mimi ninechapiwa mke wangu nikaona hivihivi ila nimenyamza tu kimya
 
Jiwekee maximum ushachapiwa tayari so what next?kwani huezi share same hole na machali wengine?
 
Ukitaka kuishi maisha ya furaha na mwenzI wako acha kabisa kuhisihisi kwamba utaibiwa.Mwezi mmoja ni mfupi sana endapo utakuwa na mawasiliano hai.Wanawake tunapenda sana kujuliwa hali mara kwa mara.So kuwa na mawasiliano hai yatakayomchanganya.Record clip nzuri umtumie.Ukifika mtumie video ya huko ulikofika ili akuwaze mda wote.Usimpe onyo lolote kabisa jifanye kama macho yako hayaoni wivu ili kumfanya ajiulize.In short be creative kwenye kucheza na mawsiliano.Usiwe na mawasiliano ya kukera ili hata kama una mpinzani akose pa kuingilia.Muombe akutumie picha mara kwa mara na wewe mtumie nyingi.Ukifanya activity zote hizo mwezi utakuwa ushaisha na usharudi home.Kila la heri nakuombea kwa Mungu uende urudi utamkuta salama hakuna ataemgusa.
 
Sasa wewe unampa demu kila kitu na bado unawaswas! Ukigundua umechapiwa ujue humtoshelez kitandan au dem wako kicheche either way itabidi umuache!
Hatuangaliag sura tukitaka kuoa, akigongwa kwa safar ya mwez achana nae
 
Najua hausafiri ila kuna kitu unatengeneza. Anyway nitarudi!
 
Unahisi anatengeza Nini labda? hebu nipe faida na mie...

Labda anataka ku-divert kidogo nyumba ndogo au anataka kuweka mtego wa kumpima huyo dada, maana kumuachia hivyo vitu vyote demu wa chuo si lelemama!
 
Hutaendelea kwa mawazo yako. Ila kumwachia business azirun demu wako utalia mm cna ham kabisa nao kwenye mambo yangu mkuu. Nishalizwa
 
Hahahahhaaa nilikuwa sijagundua kumbe wanawake ni asset eeh......
Au ni walioolewa peke yake?
Let me keep on singing and dancing my pumpkin songs yiipiiiiii
 
Hahahahhaaa nilikuwa sijagundua kumbe wanawake ni asset eeh......
Au ni waliokuwa peke yake?
Let me keep on singing and dancing my pumpkin songs yiipiiiiii

He hee....let me came dancing with you...
 
Sasa ule peke ako kwani sumu ile? Acha jamaa wajipigie nao wafaudu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom