NASA yaingia kwenye anga hewa la jua

Wewe kama ww umeshuhudia au wamekubrain wash huko na ww unakuja kutupiga kamba.
Cha msingi lete fact bro. Maelezo ya mzungu tu hayatoshi ku prove kitu. Aminisha watu kwa fact

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Wewe unahitaji fact gani? Na yeye apeleke chombo chake aka prove? Kwenye sector ya space utahitaji fact gani ambayo haitotoka kwa wanazungu ambao ndio wanajihusisha na space?
 
Unajua maana ya fact. Fact ni kitu unachoweza kukiprove 100% bila kuacha daught.
Daught iliyopo hapa ni kwamba, wazungu walishatudanganya mambo mengi ambayo tumekuja kushtuka badae. Sasa kama kuna huo uwalakini, unaanzaje kupush story kuwa tuamini ni ya kweli na imetoka kwa hao hao ambao baadhi ya mambo ni uongo.
Ni kama unanilazimisha niamini kua binadamu wa kwanza alikua sokwe na alitoka afrika, na hatuoni kama kuna watu bado wanabadilika kutoka kwenye usokwe. Ilitakiwa iwe process endelevu.
Au uko mahakamani unasema mimi nimekuibia kuku, unaambiwa lete ushahidi kua nimekuibia kuku, unaanza kumlazimisha judge na mahakimu waamini story yako kisa mzungu alishasema kua muiba kuku ana macho mekundu. Lete fact aisee

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Amka waza mbali sana Nguvu za Roho ni kubwa zaidi kuliko sayansi. Dunia inawaza kutumia lisaa limoja kutoka Londoni to Nairobi wakati Ulimwengu wa Roho unayafanya hayo karne na karne. Leo ulimwengu unatumia simu na computer wakati enzi hizo karne za nyuma pale sitimbi unakwenda kwa Bibi anakuonesha Walikuusumbua kukudhuru kupitia chungu tu chenye maji na akupa maelekezo kachinje ng'ombe fukikia pale biashara itajaa wateja na ukitekeleza kweli inakuwa. Acha kufananisha Elimu ya Ulimwengu wa Roho na Ulimwengu huu wa Sayansi. Sayansi imeachwa Mbali sana. DNA ya ulimwengu wa kiroho unachukuliwa Mchanga ulioukanyaga tu tena ukiwa umevaa kiatu unatosha kukutibu au kukudhuru lakini ulimwengu wa Sayansi lazima waguse mwili wako.
Hatari sana!
 
Kwa wale wanaouliza maswali haya kuhusu picha nani aliyepiga picha napenda kuwajibu kwamba hizo picha ni za computer generated kwasababu chombo kipo pekee yake huko na kumbuka kinapiga picha jua hakiwezi kujipiga picha chenyewe hivyo wanasayansi wanatoa picha hizi kwa sababu tupate kujifunza na kitambua kumbe chombo hukaa kwa mkao huu huko kwenye Jua
Kinatumia network gani kutuma izo picha kutok huko kuja duniani
 
Link yako haifanyi kazi... Tumieni hii

Haya makitu ni magumu kuyaelewa aisee...bora nibaki na bob marley ni ile kauli yake ya we know what they tell us. Kwa 100000% hili tukio ni uongo wa kiwango cha juu sana.
 
Kama huielewi/kuamini usiseme ni uongo sasa mkuu
 
Wewe kama ww umeshuhudia au wamekubrain wash huko na ww unakuja kutupiga kamba.
Cha msingi lete fact bro. Maelezo ya mzungu tu hayatoshi ku prove kitu. Aminisha watu kwa fact

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Naona stori zimekua nyingi ila uzuri ni kwamba kwenye sayansi hamnaga blah blah fact unazozitaka nimekuwekea hapo chini na nimejaribu kuandika kwa lugha nyepesi ili upate kuelewa kiurahisi nimeanzia jinsi gani chombo kinatoka duniani mpaka kinavyofika huko kwenye sayari ya mars na kama usiponielewa hapo ujue hayo mambo yapo nje ya uwezo wako, kitu kama wewe hukielewi haimaanishi kwamba hakipo au hakiwezekani
IMG_20220121_141733_1.jpg
IMG_20220121_141905_2.jpg
IMG_20220121_142005_5.jpg
IMG_20220121_141926_3.jpg
 
Naona stori zimekua nyingi ila uzuri ni kwamba kwenye sayansi hamnaga blah blah fact unazozitaka nimekuwekea hapo chini na nimejaribu kuandika kwa lugha nyepesi ili upate kuelewa kiurahisi nimeanzia jinsi gani chombo kinatoka duniani mpaka kinavyofika huko kwenye sayari ya mars na kama usiponielewa hapo ujue hayo mambo yapo nje ya uwezo wako, kitu kama wewe hukielewi haimaanishi kwamba hakipo au hakiwezekaniView attachment 2090439View attachment 2090466View attachment 2090467View attachment 2090468
Huko kote tushapita tukaja kugundua ni uongo mtupu. Tulikua tunajijaza ujinga tu, badala kufundishwa vitu ambavyo viko applicable kwenye life unafundishwa uongo wa formula kibao. Tuwe na tamaduni ya kuamini tunachoona au tunachoweza kuki prove. Wazungu wako huko wanafundisha watoto wao kutengeneza gari na ndege, wewe una calculate ma fornula kibao.
Hujiulizi kwanini ndege ya kwanza au gari ya kwanza ilivumbuliwa na mtu asie jua kusoma wala kuandika. Cha msingi dogo, tumia elimu hiyo ya mkoloni kufaulu mtihani lakini sio ku prove chochote ulimwengu upo complicate sana, kuna ukweli mwingi umefichwa.

We jama unachekesha sana , anyway we baki tu na huo ujinga wako mi sina cha kukufanya
 
CHOMBO CHA PARKER SOLAR PROBE CHAFIKA KATIKA ANGA HEWA YA JUA

Soma Hapa Uelewe kwa Undani

Ndio chombo cha kwanza kilichotengenezwa na mwanadamu kuweza kufika katika maeneo ya anga hewa za Jua kwanza kabla ya kuendelea hivi hunafahamu hata kwenye sayaru yetu ya dunia bado tupo katika anga hewa ya Jua inayoitwa Corona yaani hili Joto lote tunalolipata mpaka kwendelea huko pluto ni kutokea kwenye ule mlipuko wa anga hewa ya corona anga hewa ya Jua huisha tu mpaka pale utakapofikia interstellar space

Chombo hichi kilirushwa 2018 na Nasa ila kilitengenezwa nchini canada siunajua Nasa wanamatawi mengi lengo la chombo hichi ni kwenda kulisoma Jua kiundani zaidi yaani tangu hapo mwanzo tumekuwa tukilisoma Jua kwa umbali fulani kwasasa tumeamua kwenda indeeep zaidi ila hatutazidi umbali wa 8-5 million kilomita kwasababu hatutakuwa na chombo kitakachoweza kuhimili Joto kali sana

Kwasasa chombo kimefika katika Anga hewa ya Jua ambayo inafahamika kama Corona umbali wa Takribani 8 million km kutokea kwenye surface ya Jua kimevunja rekodi kufika katika eneo hilo ambalo ndio eneo lenye Joto sana au tuseme Joto linalotawanywa kwenye maeneo mbalimbali ya solar syetem baada ya kutoka kwenye kiini kuja kwenye surface na kuanza kusafiri hapa Joto huweza kufikia mpaka 1 million centigred

Ndio katika anga hewa la corona hufikia hadi 1 million centigred kutokana na " baada ya joto kuzalishwa Jingi huko ndani kwenye ule mchakato wa Nuclear fission Joto huzidi sana na huwa linatafuta sehemu ya kutokea ambapo kutokana na solar magnetic zinazoizunguka Jua huchana baazi ya maeneo ya Jua na lile joto lililokuwa na uji uji wa moto huruka juu kama fataki wakati wa kutoka hukutana na solar winds ambapo hizi winds hubeba punje punje za ule moto anga hewa corona na hutawanja maeneo mbalimbali ya ulimwengu

Je Kwanini chombo hicho hakiwezi kupata madhara ?

Chombo hakiwezi kupata madhara kama kitazunguka katika umbali uliopangwa kumbuka ni 8-5 million km tu kikizidi hapo bye bye

Chombo kimewekewa ngao yenye kuhakisi mwanga kumbuka kitu chochote chenye kuhakisi mwanga hupunguza ukali na Joto la Jua tofautisha na vile vinavyosharabu kwahiyo baada ya ile ngao nyuma yake kuna madini ya carbon ambayo wengi wetu tunayajua fuatilia kwenye rocket ya starship utaona kuna kama madude meusi huku chini

Kwahiyo kwa uwepo wa ngao inayoakisi mwanga na madini ya carbon pia hiyo haitoshi kuna mfumo wa kupoza kumputers umewekwa baada ya madini ya carbon hivyo kufanya computer na camera zote na mifumo mengine yote kuwa salama bila ya kuathiriwa na Jua yaani hapa tuseme ni kama kwenye dunia yetu tuna ngao ya asili earth magnetic field ambayo hupambana na hizi solar winds ambazo zina miale mikubwa sana ya moto kutokea kwenye Jua

Chombo hichi kimeweza pia kufikia spidi ya 194 km/s ambayo ni sawa na 700,000 km/h kumbuka chombo kiliweza kukusanya nguvu kupitia maeneo mbalimbali ili kuweza kupenetrate katika eneo hili

Kwa wale wanaouliza maswali haya kuhusu picha nani aliyepiga picha napenda kuwajibu kwamba hizo picha ni za computer generated kwasababu chombo kipo pekee yake huko na kumbuka kinapiga picha jua hakiwezi kujipiga picha chenyewe hivyo wanasayansi wanatoa picha hizi kwa sababu tupate kujifunza na kitambua kumbe chombo hukaa kwa mkao huu huko kwenye Jua

NB: NITAANDAA UZI MAALUM KWA MASWALA YA ELIMU YA ANGA , SAYANSI NA TEKNOLOJIA ZAKE. MNAKARIBISHWA KUULIZA NA KUTOA MAJIBU NA UFAFANUZI UKIWA NA UELEWA WA MASWALA YA SAYANSI YA ANGA PAMOJA NA MAMBO YA TEKNOLOJIA
Tuatasaidiana katika hili lifunguliwe jukwaa kabsa la maswal ya anga tu ili tupate elimu Zaid ..@Moderator harakisheni jambo hili linapewa nafasi Ni amari siyo ombi ...
 
Tuatasaidiana katika hili lifunguliwe jukwaa kabsa la maswal ya anga tu ili tupate elimu Zaid .@Moderator harakisheni jambo hili linapewa nafasi Ni amari siyo ombi ...
 
Kinatumia network gani kutuma izo picha kutok huko kuja duniani
Achana na hao mbung'o hawaelewi kitu jua ndio chanzo kikubwa Cha electromagnetic radiation, waves zinazozalishwa huko zinauwezo wa kukaanga IC yoyote tunazotumia kwa mawasiliano au sensor, achana na ku reset systems, ku erase data, ku loop programs, kuharibu sensors....
Ngoja Kwanza nitaitafakari hii mada kesho alcohol ikipungua kichwani; joto la jua, electromagnetic waves, plasma storms na chombo kisiharibike?
Jua lenyewe linajichoma halijihurumii mpaka limebaki gesi na plasma!
 
Huko kote tushapita tukaja kugundua ni uongo mtupu. Tulikua tunajijaza ujinga tu, badala kufundishwa vitu ambavyo viko applicable kwenye life unafundishwa uongo wa formula kibao. Tuwe na tamaduni ya kuamini tunachoona au tunachoweza kuki prove. Wazungu wako huko wanafundisha watoto wao kutengeneza gari na ndege, wewe una calculate ma fornula kibao.
Hujiulizi kwanini ndege ya kwanza au gari ya kwanza ilivumbuliwa na mtu asie jua kusoma wala kuandika. Cha msingi dogo, tumia elimu hiyo ya mkoloni kufaulu mtihani lakini sio ku prove chochote ulimwengu upo complicate sana, kuna ukweli mwingi umefichwa.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
elimu ni ufunguo wa akili....
 
NASA's PARKER SOLAR PROBE .

Kama utakuwa na kumbukumbu basi bila shaka utakua unakumbuka vyema kipindi tunakijadili chombo cha NASA kiitwacho #Parker_solar_probe ambacho kilirushwa anga za mbali mnamo tar.12 August 2018 kwa ajili ya kwenda kulichunguza #Jua

Wengi wao humu walidai kuwa hakitoweza kufika kwenye jua na kitaishia kuyeyuka kutokana na joto kali lililopo kwenye jua. Bila kujua kuwa chombo hiko kiliundwa madhubuti kwaajili ya kukabiliana joto la kutisha

Taarifa kamili ni kwamba chombo cha #Parker_solar_probe hatimae kimefanikiwa kuingia kwenye eneo la jua. Chombo hiko kimeweza kuingia kwenye atmosphere ya jua eneo liitwalo #Corona ambalo ndilo lina joto kali zaidi kuliko hata joto lililopo kwenye uso wa jua. Eneo la corona hufikia hadi nyuzi joto milioni 1, wakati uso wa jua hufikia nyuzi joto 5,500 tu.

Hivyo chombo cha parker solar probe kimeendelea kuweka record za kibabe ya kuwa chombo chenye kasi kubwa zaidi kuwahi kutengenezwa na mwanadamu ambapo huweza kwenda kasi ya Kilometer 194 kwa sekunde (194 Km/s) ama Kilometer 700,000 kwa saa ( 700,000 Km/h)

Na sasa kimeweza kuweka record mpya ya chombo pekee na cha kwanza kilichoweza kukutana na jua uso kwa uso.

Kumbuka sayari ya #Mercury ndio ilikua kitu pekee kilichopo karibu zaidi na jua kuliko kitu chochote ambapo ilikuwa umbali wa Km milioni 57 kutoka kwenye jua. Lakini #Parker_solar_probe imekuja kuvunja record hyo kwa kulisogelea jua kwa umbali wa Km milioni 8 tu kutoka kwenye jua.

Usikose kutazama kipande cha video iliyorekodiwa na chombo hiko kikiwa kwenye kasi kubwa kulisogelea jua. Video hyo utaipata kwenye link hapo juu

By Bob Lee Kizigha

Netflix
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom