Babu wa loliondo kwa juhudi zake kagundua dawa yake watu wanapona,jambo la kushangaza watu wasomi wanamtaka atoe siri ya dawa na wanahangaika ovyo ili wajue siri yake ili wamnyang'anye haki miliki yake ya kugundua dawa,wao walichotakiwa kumfanyia ni kile tu ambacho yeye atahitaji na hicho ndicho atafutiwe haraka ikiwa ni pamoja na kutafuta eneo zuri la kupanda kwa wingi hiyo miti anayotumia katika tiba na pia wagonjwa wanaotibiwa asaidiwe waorodheshwe vizuri ili asilimia ya wanaopona ijulikane.ngozi nyeusi tutabaki nyuma milele!watu wasomi mnachukua dawa ya babu mnaondoka nayo hadi kwenye maabara zenu zilizotoka ulaya na nyinyi wataalamu wenyewe si chochote wengi wenu pamoja mmesoma lakini hata mpangilio wa vyakula vyenu hamjausomea mnanenepeana hadi vichwa na ubongo unakuwa na mafuta na ndio maana vinyago na ngoma za utamaduni na mikeka ya watu ambao hawakusomea ina soko zuri ulaya.nyie wasomi hata sindano ya mkono inayomeremeta vizuri hamwezi kuitengeneza hata mkusanyike wote nyie weusi (waarabu na wahindi msiwe pamoja nao) mwacheni babu atoe kikombe na mtu asipopona ni sawa tu na mtu akipona ni sawa.nimewaeleza haya nyie wasomi weusi,dawa hii niliyowapa ni chungu sana lakini kwa kuwa mnayo homa itakayowaua lazima muinywe tu.jazba acheni tafakarini sana sana.