NASA Kumwapisha Odinga Kama rais wa Kenya

Wakenya wameshaanza kuambiwa waufyate kwenye maswala yanayohusu Kenya. Mungu mkubwa najionea mapya kila uchao. Afu kwenye picha hapo juu sijui Uhunye na RAO walikuwa wanaongea kuhusu Vera Sidika nini. Maanake ishara anayoonesha RAO kwa mikono yake ni ile ya kueleza kuhusu mananasi ya mchepuko...yaani yalivo walai yaani vitu size yake nakwambia, dah. :D:D:D
 
Sasa naona Raila anampa sababu rahisi kabisa Uhuru za kumkamata na kumuweka ndani
 
Kwan kisheria rais anapaswa aapishwe na nan?
Na huyo mwny mamlaka ya kumuapisha rais kisheria atamuapisha nan??
Uhuru au Raila
 
https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2017/11/203706_8c880400228f9d604d0f972ee8d4f5a7.jpeg https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2017/11/203773_d4d35cdc84af7554dabc0a3ee8579ab1.jpg https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2017/11/203703_c399528fb740dc1eea711fafdb27db37.jpg
DOxUHJtXcAIk8uH.jpg
https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2017/11/203766_fc2c0540e8c24ff5cc1aea6e63795a42.jpg
DPFxhDuW4AEYaYT.jpg
 
Ukiniambia Kilicho wasababisha wakasusia uchaguzi wa marudio alafu wanataka kuitawanyisha kenya kwa ukabila wa odinga sijui ni ninii.... Mwanaume unaogopa Mapambano huo ni ujinga wa Kiwango cha PHD
 
Wakati Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuapishwa kuwa Rais wa Kenya Jumanne ya wiki ijayo, Umoja wa Vyama vya Upinzani (NASA) nchini humo pia umetangaza kuapishwa kwa Raila Odinga kuwa Rais wa taifa hilo Siku hiyo ya Jumanne.

Nini Maoni Yako ?

Source : UKOMBOZ BLOG
View attachment 634807
Sasa mmoja ana dola na anakusanya kodi huyo mwingine hana dola wala hakusanyi kodi nani atamlipa mshahara?
 
Are yua Kenyan??Kama sio, pls just shut ya mouth
He has the right to present his/her opinion! This is a social media! Otherwise stay away from social media if you can be irritated so easily! Rao wants to justify his possible detention!
 
makende wewe..umeskia mimi ni mturuki? mimi mkenya toka kichwa mpaka miguu

Hapana mkenya iko na mitusi. No, no noooo. Maybe a half cast. Na umetokesns ns mbegu mbaya saana. It should be thrown into the burning lake of fire
 
NASA wasingesusia uchaguzi ... s

Sipiganii machafuko ila nadhani; Railla alijua kuwa without a new overseer he will not win. Hivyo akaamua ikuwe ivyo. Pili, alijua kuwa wengi hawataenda kwa uchaguzi hivyo wakigoma wengi sheria iko pande yake.
Siungi mkono kugawanya taifa kwa vyo vyote.
 
Back
Top Bottom