thA bubs JF-Expert Member Joined Apr 15, 2017 Posts 272 Reaction score 204 Jul 7, 2017 #41 Uhuru ni nani,Rao ni nani, Hawa ni wasanii ama? Mi mavitu ya Kenya sijuagi ila wakenya wanajua ya Tz, Loool
Uhuru ni nani,Rao ni nani, Hawa ni wasanii ama? Mi mavitu ya Kenya sijuagi ila wakenya wanajua ya Tz, Loool
pingli-nywee JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 11,923 Reaction score 13,355 Jul 7, 2017 #42 thA bubs said: Uhuru ni nani,Rao ni nani, Hawa ni wasanii ama? Mi mavitu ya Kenya sijuagi ila wakenya wanajua ya Tz, Loool Click to expand... Sasa unajipiga kifua kwamba hujui?Duh!Kaa huko huko vijiweni mbona hata Magufuli mwenyewe utamsahau tu!
thA bubs said: Uhuru ni nani,Rao ni nani, Hawa ni wasanii ama? Mi mavitu ya Kenya sijuagi ila wakenya wanajua ya Tz, Loool Click to expand... Sasa unajipiga kifua kwamba hujui?Duh!Kaa huko huko vijiweni mbona hata Magufuli mwenyewe utamsahau tu!
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,574 Jul 7, 2017 #43 Kenyan politics is very interesting
Iconoclastes JF-Expert Member Joined May 26, 2014 Posts 4,091 Reaction score 2,511 Jul 7, 2017 #44 thA bubs said: Uhuru ni nani,Rao ni nani, Hawa ni wasanii ama? Mi mavitu ya Kenya sijuagi ila wakenya wanajua ya Tz, Loool Click to expand... Na huo ni ujinga..
thA bubs said: Uhuru ni nani,Rao ni nani, Hawa ni wasanii ama? Mi mavitu ya Kenya sijuagi ila wakenya wanajua ya Tz, Loool Click to expand... Na huo ni ujinga..
M mulisaaa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 6,969 Reaction score 7,028 Jul 7, 2017 #45 Geza Ulole said: Na jinsi Magufuli anavyomminya Lowassa indirect touching Masais' welfare itakuwa ujinga wa hali ya juu kumpa rafiki wa Magufuli kura Click to expand... Kwani ulisikia wamasai wa Kenya ndowalipiga kura pia Tanzania?? Nahisi bado kichapo aluchopata lowasa kinakuumiza sana.
Geza Ulole said: Na jinsi Magufuli anavyomminya Lowassa indirect touching Masais' welfare itakuwa ujinga wa hali ya juu kumpa rafiki wa Magufuli kura Click to expand... Kwani ulisikia wamasai wa Kenya ndowalipiga kura pia Tanzania?? Nahisi bado kichapo aluchopata lowasa kinakuumiza sana.
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,300 Reaction score 47,328 Jul 8, 2017 #46 Fanyeni kazi