Naomba unisaidie kunifundisha.
First, you should keep in mind that the first-person pronoun ''I'' has to always be capitalized.
Wewe unakijua au unajishaua tu hapa!Kajifunze kiingereza weweeee
grafani11 msamehe bure.Wewe unakijua au unajishaua tu hapa!
Mimi mzima wa afya, Shemeji hajambo?grafani11 msamehe bure.
Ninaamini katika kurekebishana lakini turekebishane kwa nidhamu. Katika lugha ili ujumbe uweze kufika vizuri mambo mengi yanantizamwa. Tusaidiane tu kuwekana sawa kistaarabu!
Hujambo lakini?
Kajifunze kiingereza weweeee
Mimi mzima wa afya, Shemeji hajambo?
Pouwa. Na wewe pia kumbuka kazi na dawa usipotee hewani kiaina.hajambo. anakusalimu! kazi njema!
Mkuu Radhia Sweety, nampongeza mleta mada kajitahidi sana na hii lugha ya wageni.Si ujajua Kiingereza is our fourth tongue, tuanze na Local venacular ya wazazi wote wawili (two indigeneous languages here), halafu Kiswahili our national Language and fourth kizungu tumejifunza mashuleni primary kidogo sana kwa wale tuliosoma shule Kayumba kizungu and unfortunate it is a medium of instruction in Secondary and higher learning (ni kwa nini hapa tusiwe na broken english -mhhhhhhhhhhhhhhhhh) hata kunyoosha sentensi hatujui. So kwa mantiki hii usimseme sana huyu mleta mada.Kajifunze kiingereza weweeee
Pouwa. Na wewe pia kumbuka kazi na dawa usipotee hewani kiaina.
Mwambie apunguze mbinyo na sisi tupate nafasi.mie mbona nipo. ila kiaina shemeji ako ananibana.........!!!:mvutaji: