Narudia tena, wanawake siyo watu wazuri

Looh jamani sikio hua halizidi kichwa ujue..ukiwa mdogo ni mdogo tu.
You are far better wise..humble..Smart than me. You know my past how was it..
Hili lako naona lataka zidi kichwa, tho nafurahia kuona unazidi kukomaa...

Let's not talk about the past, tuangalie mbele tunakoenda kaka!
 
siku utalipa sawa sawa na matendo yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili lako naona lataka zidi kichwa, tho nafurahia kuona unazidi kukomaa...

Let's not talk about past, tuangalie mbele tunakoenda kaka!
Dah I'm speechless my Dada, I don't deserve this..I'm not that worthy.
Wewe ni mkubwa utabaki kua mkubwa kwangu kwa kila kitu Dada.Niombee sana hiki tu ndio nahitaji toka kwako..Nakuahidi toka sasa nitakuweka kwenye orodha ya watu toka huku ninaowakumbuka kwenye maombi yangu..

Ahsante kwa kuacha yapite hayo yaliyopita Dada
 
Usijali kabisaa jamani!.
Kwenye sala hapa umefika, nitakukumbuka mnoo kwenye maombi!.
 
Thanks too. Usiku huu niombee. Kesho nitakua ninashida kidogo only prays will keep me surviving
Usijali, Mungu aliyewavusha wana wa Israel katikati ya bahari nawe atakuvusha mdogo wangu!!
Amini kesho yako ameipanga Mungu, Mungu akulinde na kuepushe na ajali zote za mwili na roho!!

Amini hakuna jaribu kubwa kuliko imani ulonayo, tabasamu mwambie Mungu asante!
 
Tantee dada ake..ngoja nipitie rozali kidogo.Maana Daah
Mithali : Mlango 4
6 Usimwache, naye atakuhifadhi;Umpende, naye atakulinda.
 

Hauta owa kwasababu tayari watoto unao!!utaoa unataka nini sasa??


Envoyé de mon iPhone en utilisant JamiiForums
 
Una maanisha wanawake wanatoka familia duni sana kiasi cha kukutegemea wewe muoaji ndio usaidie mke wako na familia yao?!!!!
What if wewe unayeoa ni kabwela, kapuku, mnuka shombo?


Hhaha shngaa na ww!mie familia yangu haijawah hitaji hata mia ya mtu!khaa..kutishana huko vipi jaman!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…