Narudia tena, Timu ya Hayati Magufuli ndiyo itakayoweza kumvusha Rais Samia

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
Nilishtushwa sana baada ya kuona mama Samia akiwashughulikia timu Magufuli wakati anaanza uongozi wake kama Rais. Nikajua mama ananunua maadui wa watangulizi na kupigana vita ambayo sio yake.

Ili Mama Samia afike 2025 akiwa na nguvu kisiasa anapaswa kuitumia timu Magufuli kama ilivyokuwa na kufuata model ya Magufuli katika utawala wake. Hawa timu JK walishindwa kwenye uchaguzi wa 2015 hakuna anayewapenda katika nchi hii.

Mama tafuta wizara ngumu kama ujenzi, fedha, maji na nyumba wape akina Bashiru, Polepole, Kabudi, Lukuvi, Mpina, Kalemani n. k achana na hao waswahili watakuponza kama ambavyo wameshafanya hadi sasa.

Urais ni mwepesi ukiweza kuchagua wasaidizi makini na wazalendo. Mama jiepushe kupigana vita za watu na kurithi maadui wa watu wengine. Tengeneza wa kwako kama ni lazima kuwa nao
 
Achana na hbr hizi, ishapita hiyo ni vzr wakapatikana viongoz wazalendo ila sio hao uliowataja wala waliopo!!
 
Vita dhidi ya Umasikini Ujinga na Maradhi inahitajika vita mpya dhidi ya Ufala.
 
Back
Top Bottom