Narudia tena: Magufuli si wa kuchezea

kwa jinsi mambo nanavyokwenda lately, wapo watakaotamani kurudisha maneno yao kuwa " hii nchi inaendeshwa na washamba" that was a very reckless statement. Now they have to pay for that.
 
Unadhani Reich Führer Adolf Hitler, Dk Al haji Idd Amin,Mfalme Jean Bedel Bokassa , nao walikuwa watu wa kuchezewa?
Sasa hivi wako wapi?
Seuze mPhD feki ya juisi ya korosho
 
Kwa hiyo ndio lilikuwa hitaji kuu huko kijijini kwenu?
 
Tunakwenda mwaka wa NNE sasa,huu sio wakati wa kumuuza tena magufuli,ni wakati wa kufanya kazi na kutathimini matokeo ya hiyo kazi
Watu bado mko kwenye kampein mode fulltime why?
 
Unadhani Reich Führer Adolf Hitler, Dk Al haji Idd Amin,Mfalme Jean Bedel Bokassa , nao walikuwa watu wa kuchezewa?
Sasa hivi wako wapi?
Seuze mPhD feki ya juisi ya korosho
Wameshakufa.
Na hiyo ni kwa kila binadamu
 
Kwa kuchezea hela za wananchi masikin sio wa mchezo mkuu.Ndo silaha yake baada ya kushindwa kila kona!!
 
Kwa nni haujasema kwamba, Magufuli siyo wa Mchezo kwa sababu ameanzisha SIASA ZA KIGAIDI ndani ya Nchi iliyokuwa na amani tele, hekima, Upendo na Busara miongoni mwa watanzania na sasa kumeshamili ugaidi wa WATU WASIOJULIKANA!?
Kwa nini haujasema, Magufuli siyo wa Mchezo kwa sababu km mwenyekiti cha CCM, kabadili sura na sera za chama chake kuwa za kigaidi, yaani kuteka, kutesa na kuua wananchi wasiyo na hatia!?
Kwa nni haujasema, Magufuli siyo wa mchezo kwa sababu, amebadili jina halisi la CCM- Chama Cha Mapinduzi na kuwa CHAMA CHA MAGAIDI a.k.a WATU WASIOJULIKANA!?
Magufuli huyu huyu mwenye kiu ya kuua wananchi kwa Njaa!! Wanaomsifia wamelaaniwa km alivyolaaniwa na Mungu kwa kuua Watu wa Mungu
 
kwa jinsi mambo nanavyokwenda lately, wapo watakaotamani kurudisha maneno yao kuwa " hii nchi inaendeshwa na washamba" that was a very reckless statement. Now they have to pay for that.
Aliyesema maneno yale alikuwa mpigaji wa awamu ya nne, njia zote zinapozibwa ndio anaongea upuuzi utadhani yeye sio mtu aliyezungukwa na hao washamba huko ambako wazazi walizaliwa.
 
kwa jinsi mambo nanavyokwenda lately, wapo watakaotamani kurudisha maneno yao kuwa " hii nchi inaendeshwa na washamba" that was a very reckless statement. Now they have to pay for that.
Ndio tanzania ya viwanda mlio waahidi watz?
 
Sure
 
Ni kweli sii wa kuchezea, na kwa kawaida hakuna mtu timamu anacheza na kichaa.
Ukichaa kajinenea peke yake
 
Kwa nchi kupinda ni kweli, lakini sijui kama atafanikiwa "kuionyoosha", sidhani. Kwasababu ametumia mbinu mbovu. Angeweza, lakini hajatumia busara Zaidi. Nchi ni kweli imeoza all the way to its core. Customer service is one of the worst in the world in my opinion. I don't agree with his measurements.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…