Narudia tena: Magufuli si wa kuchezea

Kazi ya Brother Magu ni kumtoa 'Mzee Bure' kwny Vichwa vya Wendawazimu wanaodhani Kazi ya Serikal ni kuwalisha na kuwavisha Wazembe walsiofanya Kazi
 
Hayo ni maoni yako. Ulichokosea ni kumfananisha Mhe Magufuli na Baba wa Taifa na Sokoine. Sidhani ulikuwa makini na nina wasiwasi kuwa hukumaansha.
 
Mungu huyo siyo yule tumwaminiwe sisi wanyonge.mungu huyu ni wa kwako na yeye tu.Hakuna Mungu wa Visasi, chuki au ubaguzi.Msitudanganye na Mungu yenu mnayoijua wenyewe
Visasi kwa waliofikisha Tanzania kuendelea kuwa maskini, pamojana utajiri, ruksha.

Utawala huu hakuna cha Tume panapokuwa na maovu. Kamata na kumfikisha kwenye vyombo vya sheria au ondoa madarakani
 
Hivi unafahamu kila mwaka serikali inatenga bajeti ya mfuko wa maafa??? Hizo hela hazijatumika popote pale

wameshasepa na fedha za misaada iliyotelewa. Ningewashauri hao waliobakiza kutoa hizo bili 4.5 wasitoe wakafanyie mambo yao.
CCM na ujambazi ni kama Chapati na chai
 
Mungu huyo siyo yule tumwaminiwe sisi wanyonge.mungu huyu ni wa kwako na yeye tu.Hakuna Mungu wa Visasi, chuki au ubaguzi.Msitudanganye na Mungu yenu mnayoijua wenyewe
Sasa wewe unaamini mungu wenzio tunaamini Mungu ujue kunatofauti. Mungu tunayomwamini sisi ndio tunajua alimwandaa Magufuli kuwa president wa Tanzania. We endelea kuamini mungu wako hakuna atakayekuzuia Tanzania kuna Uhuru wa kuamini na kuabudu ila usitende jinai tu.
 

Angekuwa ameandaliwa na Mungu tumjuaye sisi asingebagua wala kuendesha serikali kwa CHUKI,VISASI na UBAGUZI
 
Tuliosema lowasa ni fisadi ni sisi Mbowe, Lisu, Lema, Mnyika, Msigwa na ushahidi tunao.

Kama Lowasa anabisha atangulie mahakamani
 
Kuna watu awamu ya tano watapoteza umaarufu kupita maelezo. Watasikika wakati wa kampeni za 2020.

JK ni mmoja wa waungwana wa asili. Very gentle kind of trait.
 
Mr President! Hapa kazi tu
Jerry Murro ungerudi tuu kwenye taasnia yako ya zamani ya habari maana ndio hipo vizuri kwa sasa nahisi atang'aa zaidi.....
 
Na wakati wa kampeni 2020 aendeelee hivyo hivyo
 
Unajuwa hili taifa kunawajinga fulani wametutesa sanaaaaa. Kiukweli kumkashifu Magu nisawa nakumtukana mzazi wako alie kusomesha nakukupeleka shule. Magu ametisha 10 years to come hili taifa litakuwa imara sana i wish tupige kura aendelee kuongoza miaka mitano tena kwa dharula japo sidhani kama atakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…