Narudia tena ,hatutakubali Rais Magufuli atukanwe kwa kisingizio cha ukosoaji

Humuheshimu mkuu wa nchi kaa kimya, ukijionesha kutomuheshimu utashughurikiwa kwa mujibu wa taratibu zilizopo.

Ila mkuu wa nchi akitumia madaraka yake kutoheshimu box la kura taratibu zilizopo zinakosa nguvu!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwanza naunga mkono hoja ya ukosoaji ,Kukosolewa kwa kiongozi au raia yoyote yule ni jambo linalokubalika kabisa ,na wala halina mjadala wowote.

Kwani kukosoa humfanya yule aliekosolewa kujitathimni utendaji wake au mwenenendo wake,kisha kufanya marekebisho kama ataona kuna umuhimu wa kufanya hivyo,halazimishwi hata kidogo.
Na ukosoaji mzuri,au mkosoaji mzuri ni ule/yule wenye Lugha ya staha na wenye kuweka njia mbadala (way foward),duniani kote wakosoaji hufanya namna hii.

Kumezuka tabia ya baadhi ya watu kupitia mgongo wa siasa, kufanya utovu wa nidhamu kwa kumtusi rais kwa kigezo cha kwamba wanakosoa ,na wakishughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa kanuni na sheria hudai wanaonewa,wanazibwa midomo,si kweli ,kama unatukana utazibwa mdomo tu,utake usitake,Rais ni kiongozi mkuu wa nchi ,ni alama ya taifa ,kumtukana ni kosa la jinai,si jinai tu,inakwenda mbali zaidi ,unapoonyesha utukutu uliokomaa.

Ushauri wangu kwa vijana hasa ndio ambao damu inachemka na mara nyingi ndio lika lenye misukosuko,kama kuna watu wanakutumieni kumtukana rais Magufuli ili mpate umaarufu na chochote kile ,kisha wao kuwatumia kama jukwaa lao kufikia malengo yao , mjichunge sana ,ni hatari kwa future yenu.

Naamini vijana nyie ni wasomi wazuri na mna elimu nzuri ya kukosoa yenye kuonyesha njia mbadala,itumieni ipasavyo sehemu ambayo mnaona haiendi sawa kwa kukosoa kupitia staha na si matusi.

Kumbukeni rais huyu alichaguliwa na watazania wengi,unapomtukana umetukana wale waliomchagua na wale wote wanaokubaliana na kazi yake,hivyo kujikuta wewe unajitengenezea wigo mpana wa maadui.

Badilikeni wakati ni sasa.kuna vijana ambao nawapongeza na ni vizuri mkawaiga,kuna Zitto kabwe,Hussein Bashe,hawa vijana wanaikosoa sana serikali bila ya matusi na huja na way foward,ndivyo inavyotakiwa,vinginevyo kosoaji ya umagharibi si asili yetu,mtaumia tu.
Ni kweli usemacho maana Rais wa nchi ni tasisi, hivyo kwa kutumia lugha isiyo na staa kwa kigezo cha kumpinga ni kumkosea adabu na ni kinyume cha tamaduni wa mwafrika,na akitaka kuitumia utaumia wewe pamoja na wanaokutegemea
 
Kwanza naunga mkono hoja ya ukosoaji ,Kukosolewa kwa kiongozi au raia yoyote yule ni jambo linalokubalika kabisa ,na wala halina mjadala wowote.

Kwani kukosoa humfanya yule aliekosolewa kujitathimni utendaji wake au mwenenendo wake,kisha kufanya marekebisho kama ataona kuna umuhimu wa kufanya hivyo,halazimishwi hata kidogo.
Na ukosoaji mzuri,au mkosoaji mzuri ni ule/yule wenye Lugha ya staha na wenye kuweka njia mbadala (way foward),duniani kote wakosoaji hufanya namna hii.

Kumezuka tabia ya baadhi ya watu kupitia mgongo wa siasa, kufanya utovu wa nidhamu kwa kumtusi rais kwa kigezo cha kwamba wanakosoa ,na wakishughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa kanuni na sheria hudai wanaonewa,wanazibwa midomo,si kweli ,kama unatukana utazibwa mdomo tu,utake usitake,Rais ni kiongozi mkuu wa nchi ,ni alama ya taifa ,kumtukana ni kosa la jinai,si jinai tu,inakwenda mbali zaidi ,unapoonyesha utukutu uliokomaa.

Ushauri wangu kwa vijana hasa ndio ambao damu inachemka na mara nyingi ndio lika lenye misukosuko,kama kuna watu wanakutumieni kumtukana rais Magufuli ili mpate umaarufu na chochote kile ,kisha wao kuwatumia kama jukwaa lao kufikia malengo yao , mjichunge sana ,ni hatari kwa future yenu.

Naamini vijana nyie ni wasomi wazuri na mna elimu nzuri ya kukosoa yenye kuonyesha njia mbadala,itumieni ipasavyo sehemu ambayo mnaona haiendi sawa kwa kukosoa kupitia staha na si matusi.

Kumbukeni rais huyu alichaguliwa na watazania wengi,unapomtukana umetukana wale waliomchagua na wale wote wanaokubaliana na kazi yake,hivyo kujikuta wewe unajitengenezea wigo mpana wa maadui.

Badilikeni wakati ni sasa.kuna vijana ambao nawapongeza na ni vizuri mkawaiga,kuna Zitto kabwe,Hussein Bashe,hawa vijana wanaikosoa sana serikali bila ya matusi na huja na way foward,ndivyo inavyotakiwa,vinginevyo kosoaji ya umagharibi si asili yetu,mtaumia tu.
Lini uliwahi kukubali hata uspikubali atakosolewa tu na mahakaman mkienda tunawagaragaza na hao wanasheria wenu uchwara.
 
Vyuo vikuu vya mwendo kasi vimewapa vijana wengi ile tunaita 'confidence of a fool' mtu anatoa hoja za ovyo na kutukana matusi na kufikiri anafanya sahihi.
 
Nani kamtukana rais JPM, kama hujui yote uyaonayo ni yy ndiye chanzo mara anajiita jiwe, mara mm sikusema nitaleta tetemeko, mara mtalimia meno, mara asiyetaka kazi na aache, mara mtanyooka tu, mara hamna wa kunipangia...

Kuna kauli nyingi ambazo kama kiongozi wa nchi hapaswi kuzitoa kwa anaowaongoza kwa mtindo huo hakuna anayeweza kuwa naheshima kwake zaidi ya uoga tu.

Kumbuka yy kama mkuu wa nchi hana mamlaka ya kutoa kauli mbaya kwa walio chini yake hivyohivyo kwa upande mwingine. Kwa uzi wako ulipaswa kwanza uanze naye abadilike kwani mwisho wa yote sisi sote ni raia na tuko chini za sheria ya nchi hii..
 
Kutukana mtu si sawa hata mbele za Mungu hata katika sheria za nchi ... Kinachopaswa kufanyika ni kukosoa kwa upendo na si kwa chuki na fitina zenye uchonganishi ndani yake.
Rais ni Mtanzania, aliyechaguliwa na watanzania, anaongoza watu wote waliomchagua na hata Wale ambao hawakumchangua

Hivyo anastahili heshima yake kama sehemu ya haki yake, na pia kama Kiongozi Wa watanzania.

Hii tabia ya kutukana ovyo ovyo kutokana pengine na madhaifu yake, siyo sawa.

Hakuna mwanadamu aliyekamilika... Na hakuna Rais hata baada yake mtakaye sema yeye ni mkamilifu...

Hivyo asitukanwe kwa madhaifu yake bali akosolewe kwa upendo katika madhaifu yake.
Kwa mantiki hiyo hiyo, hao wanaodai wanatukanwa hawana haki ya kuwateka na kuwaumiza wanaodai wanawatukana.
Umenielewa?
Taratibu zipo, kwa nini zisifuatwe!
 
Bogus, you're lauding the state sponsored thuggery being perpetrated by this regime. You'll sink low, very low.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa hiyo kwa vile hakuna sababu ya kumtukana na ndio maana wale wanamtukana mnaishia kuwateka na kuwaua sio, sawa tumekuelewa ila muambieni kuwa jinai huwa haifi ni suala la muda kama sio hapa duniani basi ajue kwamba mwanamme ameshaweka shoka shinani.
Kwanza naunga mkono hoja ya ukosoaji ,Kukosolewa kwa kiongozi au raia yoyote yule ni jambo linalokubalika kabisa ,na wala halina mjadala wowote.

Kwani kukosoa humfanya yule aliekosolewa kujitathimni utendaji wake au mwenenendo wake,kisha kufanya marekebisho kama ataona kuna umuhimu wa kufanya hivyo,halazimishwi hata kidogo.
Na ukosoaji mzuri,au mkosoaji mzuri ni ule/yule wenye Lugha ya staha na wenye kuweka njia mbadala (way foward),duniani kote wakosoaji hufanya namna hii.

Kumezuka tabia ya baadhi ya watu kupitia mgongo wa siasa, kufanya utovu wa nidhamu kwa kumtusi rais kwa kigezo cha kwamba wanakosoa ,na wakishughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa kanuni na sheria hudai wanaonewa,wanazibwa midomo,si kweli ,kama unatukana utazibwa mdomo tu,utake usitake,Rais ni kiongozi mkuu wa nchi ,ni alama ya taifa ,kumtukana ni kosa la jinai,si jinai tu,inakwenda mbali zaidi ,unapoonyesha utukutu uliokomaa.

Ushauri wangu kwa vijana hasa ndio ambao damu inachemka na mara nyingi ndio lika lenye misukosuko,kama kuna watu wanakutumieni kumtukana rais Magufuli ili mpate umaarufu na chochote kile ,kisha wao kuwatumia kama jukwaa lao kufikia malengo yao , mjichunge sana ,ni hatari kwa future yenu.

Naamini vijana nyie ni wasomi wazuri na mna elimu nzuri ya kukosoa yenye kuonyesha njia mbadala,itumieni ipasavyo sehemu ambayo mnaona haiendi sawa kwa kukosoa kupitia staha na si matusi.

Kumbukeni rais huyu alichaguliwa na watazania wengi,unapomtukana umetukana wale waliomchagua na wale wote wanaokubaliana na kazi yake,hivyo kujikuta wewe unajitengenezea wigo mpana wa maadui.

Badilikeni wakati ni sasa.kuna vijana ambao nawapongeza na ni vizuri mkawaiga,kuna Zitto kabwe,Hussein Bashe,hawa vijana wanaikosoa sana serikali bila ya matusi na huja na way foward,ndivyo inavyotakiwa,vinginevyo kosoaji ya umagharibi si asili yetu,mtaumia tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Washughulikiwe tu hakuna cha mdude wala sijui nani Rais angekuwa ni baba yao wangemtusi vile ,wenyewe wakipewa kuongoza kuna kitu gani kipya watakifanya.
 
Mzazi upaswi kuwa Na ngozi nyepesi ufai kuwa mzazi,kuuwa nzi Kwa bunduki ni udhaifu kunyimwa usingizi Na bawaba.
 
Washughulikiwe tu hakuna cha mdude wala sijui nani Rais angekuwa ni baba yao wangemtusi vile ,wenyewe wakipewa kuongoza kuna kitu gani kipya watakifanya.

System Madaraka siku yakikoma atapata tabu sana sipati Picha atakavoandikwa vibaya,atakuwa hana nguvu hana mamlaka je ataweza himili malipizi toka Kwa aliowaumiza?Madaraka hana,ulinzi hana,amri hana,watu kama hawa upata tabu sana mfumo ukiwatupa.
 
Back
Top Bottom