Narudi nikiwa unstoppable

Huyu anapenda mambo makubwa kuliko uwezo wake! Siunaona anavyolilia kua platinum
Mimi napenda watu wajue hadhi nilonayo

Kitu ambacho nimekuja kugundua haiwezekani hasa kwa wamatumbii
 
Na huyo haogopi Mikojo. Atamtoa sunna mara ya pili dadeki.

Atambembeleza kuwa asogee wazogoe. Akisogea tu, kisu hiki hapa.
Wewe umeshalaaniwa yaani umekuwa kama msukule..

Ni nini hiki umeandika humu.. Rubbish🤮
 
Anafanana na chuchu hans? 😂😂

Sijui ana shida gani jamaa huyu
Sometimes kichwa yake inakuwa sawa lakini mara nyingi ni mwehu
Nabii wangu upo? Uje tulewe zetu hapa bro
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…