Narudi nikiwa unstoppable

That's what am doing bro.
Am not flexing am just being me
Sawa unakuwa wewe lakini mbona unakuwa tofauti na mentors wako ambao unawasoma kwenye hivyo vitabu?

Je mentors wako wanafundisha kuwa na majigambo? Wanafundisha kujiona wewe ni bora kuliko wengine?

Wanafundisha kupata heshima au kutambulika Kwa lazima?

Listen dude, kuna msemo unasema "iache kazi yako ikutambulishe uwezo wako"

Mfanyakazi mzuri ataonekana kupitia kazi yake anayoifanya,watu wakiona kazi yake watasema he or she is best

Ila wewe mwenyewe ukianza kusema mimi ni mchapakazi wakati hukuna Matokeo,watu watakushangaa

Sasa chapisha machapisho ya kiplatnum halafu watu waseme wenyewe yes de Gunner anastahili kuwa kweli platinum member

Be humble,mwerevu,muelewa mwaisho wa siku heshima itakuja yenyewe, nakwambia haya as your brother nakutakia mema
 
Yani umemjua kama umemzaaπŸ˜… hajui tu watu wa kilog off wanasahau takataka zote za humu
 
Siyo lazima afuate kila kitu hata robo yake inafaa maana haishi kwa kukariri
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe 11 the the guuna πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jf Kuna Nini mbona vijana wanatumia nguvu kubwa sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe 11 the the guuna πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jf Kuna Nini mbona vijana wanatumia nguvu kubwa sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
de Gunner ndo initial ID name yangu ilikuwa on hold kwa muda na si kuweza kudlbadilisha mkuu... Nothing serious Daah πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mods wamefanya ubaya Ubwela.

Wame-merge akaunti ya mtoa mada na de Gunner
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kijana ana shida sehemu, anahangaika na IDs nyingi hapo hapo anakuwa anazipigia misele IDs zenye majina ya kike. Hivi hata kama kweli ni Mwanamke nani atamkubalia ? Maana mpaka hapo anaonekana kama Tqpeli, mtoto mdogo tu msumbufu au mtu asiyejielewa
 
Aisee πŸ˜‚
Hii vita sasa ni kama unataka kuanza upya tena.. Mimi ni mtu poa na genuine sana. Msinijengee picha mbaya mwishowe pissi kali zinikimbie bwana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…