Mimi nipate attention kwa nani? ๐น๐นKwa sababu she's acting soo wierd
Yaani hana utulivu kabisa.
Anahisi atapata attention this time around
Hautakufa. Utaishi Mkuu.
Ni Kansa gani imefika Terminal stage na bado mwili una nguvu?.
Utaishi miaka mingine mingi mbele bila shaka.
Tatizo lake anahisi humu watu wanajali kuhusu watu wengine. Na ndo kitu kinamtesa anahisi yeye ana umuhimu, kumbe alipopigwa ban hakuna hata anayejali kuhusu yeye ndiomana akaamua kuibuka na id nyingine aonekane..!! ๐น๐น๐นUmejuaje people hawa take care kuhusu yeye?
Utatoa mapovu mpaka uchoke tu...D
Dogo acha mihadarati ukitaka ustaa hamia insta huko kauze sura.
Hii mitandao ya Anonymity huwa kuna aina ya watu ambao mpaka wakufagilie lazima uwe very extra extra ORDINARY.Tofauti na hapo wewe ni chizi(mwanasesere) kama machizi wengine.
Sio nguvu tu mkuu
Nina nguvu na sina maumivu kokote
Bado nina matumaini lakini hata ikiwa ndivyo sivyo sitakuwa na cha kufanya, ni njia ambayo haikwepeki
Utajitetea na kutema nyongo sana...Tatizo lake anahisi humu watu wanajali kuhusu watu wengine. Na ndo kitu kinamtesa anahisi yeye ana umuhimu, kumbe alipopigwa ban hakuna hata anayejali kuhusu yeye ndiomana akaamua kuibuka na id nyingine aonekane..!! ๐น๐น๐น
Huyu kiwango chake cha uchizi kiko juu sana ni wa kufungwa kambaโฆ..!!
Sio nguvu tu mkuu
Nina nguvu na sina maumivu kokote
Bado nina matumaini lakini hata ikiwa ndivyo sivyo sitakuwa na cha kufanya, ni njia ambayo haikwepeki
Ulitakiwa uanze wewe huoni comments zote za members zinakuona kituko?Jistukie it's soo cringe
Sio nguvu tu mkuu
Nina nguvu na sina maumivu kokote
Bado nina matumaini lakini hata ikiwa ndivyo sivyo sitakuwa na cha kufanya, ni njia ambayo haikwepeki
Thats weird kwa kweli.
Uko normal tu mkuu.
Na Hope ndio kila kitu .
Na Mwaka 2027 utauona kwa uwezo wa Mungu.
Have Faith mkuu.
mapambano Mema.
Nasikia wizo eti mlimfata huyu pm mmependa kiswanglish chake? ๐น๐น๐น
Ni katika doria za kutafuta mawindo, akijilengesha nakulaaa ๐๐๐Nasikia wizo eti mlimfata huyu pm mmependa kiswanglish chake? ๐น๐น๐น
Sawa ni msomaji mzuri sikatai na hongera kwahiloBro mimi ni msomaji mzuri tu
View attachment 3652143
Dooh Pole ๐ฅSio nguvu tu mkuu
Nina nguvu na sina maumivu kokote
Bado nina matumaini lakini hata ikiwa ndivyo sivyo sitakuwa na cha kufanya, ni njia ambayo haikwepeki
That's what am doing bro.Sawa ni msomaji mzuri sikatai na hongera kwahilo
Lakini kama hupati manufaa na kile unachokisama huoni kwamba ni kupoteza muda bure kwenye hivyo vitabu?
Kwababu watu wengi sana tunasoma vitabu lakini hatukifanyii kazi kile tunacho kisoma matokeo yake tunakuwa kama wote hatuja soma
Mtazamo,maono yako na matendo yako inapaswa yareflect na kile ulichosoma na kukifahamu,hapo sasa utaona faida ya kusoma