Narudi Kwetu...

Narudi Kwetu...

Hivi usawa wa baba Jesca mtu anadai nguo za Idd atakuwa na matatizo hela ya kula tu mkiipata mnashukuru mungu. Huyo atakuwa na matatizo mengine aende tu. Au anakideti na jamaa mwingine sasa anasingizia nguo za Idd, ili arudi home apate nafasi ya kutoka. Alafu huyo wifio atakuwa umri wake bado mdogo amekimbilia kuolewa huyo, hajakomaa, Ndoa ni zaidi ya hivyo watu wanavyodream.
mkuu ana 31 bado mdogo sema anapenda kujiendekeza na deko..
 
31 mdogo? mzee kabisa huyo,
Muonyeshe pambano la mayweather la juzi juzi, na umwambie kaka ake akirudi yatamkuta kama hayo.
Mkuu huyu anajitoa fahamu tuu ana watoto wa4 amewaacha na baba yao,na huyo kaka anae mdekea ameshamwambia arudi kwa mumewe au kwa mamake sasa anasema ongea na kaka na nilimwambia subiri aje ndio utamambia hakutaka kunisikia...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom