Nimeya mark tayari,Lissu kesho haendi msibani, mark my words
Hii ilitukuta wengi.Kwa busara sana naona watakaomsindikiza mh Lissu kesho kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Mkapa wasioneshe dalili za kumshangilia pale uwanjani.
Pia mh Lissu kwa upendo wako kwa waTanzania naomba kesho uende ukiwa nadhifu na utoe heshima za mwisho kwa maneno yenye busara zinazochoma mioyo ya waliokaa meza kuu ukitumia lugha ya kiswahili pamoja na maneno ya kingereza ili wageni wengine wakuelewe lakini usihudubie habari za siasa na uchaguzi.
Chagua maneno ya kuchoma zenye kupeleka ujumbe kwa viongozi wa meza kuu; najua kufika kwako kuna wengine watatoa machozi iwe kwa nje au kwa ndani wakikulilia kwa furahaa na siyo marehemu Mh Mkapa.
Kuna siku naisema; kuna mtu alileta mada moja hapa ikafutwa haraka kua Mh Lissu amekufa; kweli niliiona nikiwa Bukoba hotelini nilipofikia kwakweli nilikimbia haraka sana kwenda kuharisha; make tumbo ya kuhara ilinishika ghafla kurudi nikaona uzi umefutwa back to 2018.
Mungu mi mwema wakati wote...iwe mvua iwe jua lazima machungu uliyoyapata na wetenda watayapata tu..tunaishi hapa hapa duniani tunajuana.
Sometimes huwa natamani sana ningekuwa na uwezo fulani hivi ili nimlipie Kisasi Tundu LissuKwa busara sana naona watakaomsindikiza mh Lissu kesho kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Mkapa wasioneshe dalili za kumshangilia pale uwanjani.
Pia mh Lissu kwa upendo wako kwa waTanzania naomba kesho uende ukiwa nadhifu na utoe heshima za mwisho kwa maneno yenye busara zinazochoma mioyo ya waliokaa meza kuu ukitumia lugha ya kiswahili pamoja na maneno ya kingereza ili wageni wengine wakuelewe lakini usihudubie habari za siasa na uchaguzi.
Chagua maneno ya kuchoma zenye kupeleka ujumbe kwa viongozi wa meza kuu; najua kufika kwako kuna wengine watatoa machozi iwe kwa nje au kwa ndani wakikulilia kwa furahaa na siyo marehemu Mh Mkapa.
Kuna siku naisema; kuna mtu alileta mada moja hapa ikafutwa haraka kua Mh Lissu amekufa; kweli niliiona nikiwa Bukoba hotelini nilipofikia kwakweli nilikimbia haraka sana kwenda kuharisha; make tumbo ya kuhara ilinishika ghafla kurudi nikaona uzi umefutwa back to 2018.
Mungu mi mwema wakati wote...iwe mvua iwe jua lazima machungu uliyoyapata na wetenda watayapata tu..tunaishi hapa hapa duniani tunajuana.
Lissu kesho haendi msibani, mark my words
Kisasi tutalipiza tu bahati nzuri uwezo upo ni mazingira ndo inaandaliwa.Sometimes huwa natamani sana ningekuwa na uwezo fulani hivi ili nimlipie Kisasi Tundu Lissu
Sabitina Makweta
Bado mnaendelea na ramli zenuLissu kesho haendi msibani, mark my words
Kama mlivyokua mnasema atakamatwa airport yan nguruwe bwan tabu sana maana anaweza kula hata mavi takeLissu kesho haendi msibani, mark my words
Lissu kesho haendi msibani, mark my words
Kwa akili unadhani kill mtu atapewa airtime kuongea. Labda mvizie vyombo via habari. Kupewa podeam sahau.Hizo ni anga za mkuu wa nchi JPM na wengine wakilishi wa nchi rafiki mlishachanganyikiwa mnafikiri kill sehemu ni siasa.Jinga kabisaKwa busara sana naona watakaomsindikiza mh Lissu kesho kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Mkapa wasioneshe dalili za kumshangilia pale uwanjani.