Napomwona mwanamke mjamzito...

Napomwona mwanamke mjamzito...

Kichwa cha binadamu (ubongo) ni kama kompyuta au program ya kompyuta tuchukulie mfano Youtube ikiwa kila siku una search nyimbo say singeli basi nayo ukifungua tu itakuletea masingeli mbalimbali maana ishajua ugonjwa wako.

Ubongo nao ni hivyo hivyo ukiuzoesha wajawazito nayo utataka wajawazito tu, ukiuzoesha kula mabaamedi kichwani utawaza mabaamedi tu the same tu wake za watu, wanafuzni n.k

Ufanye ubongo wako uwaze vitu vingine utawasahau wajawazito
 
Back
Top Bottom