Napokaribia kufika kileleni naanza kuunguruma

Vipi mkuu Kifimboplayer, unaungurumia mbele ama nyuma?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa nimecheka sana.. Kuna jamaa yangu yy anaunguruma kama mlio bunduki..unaweza dhani kuna move

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
inaelekea huko
mbeleni utajinyea kabisa ni bora uwe makini ama uache kabisa
 
Hujaambiwa kuweka picha kweli? Angalau naona umeambiwa uweke sauti hiyo uliyorekodiwa, lkn sauti bila picha.....
 
Hahaaaaaa!mr lion in the house,hao madem zako wavumilivu,mm ningepita dirishani haki ya nani!
 
tuwekee hiyo clip tusikie hiyo miungurumo yako kama ni kweli inafanana na wanyama.
 
madawa ya wamasai ayo unayotimia kabla ya game, yanakuwa ya mifugo, pole sana punguza kununua. siku lia kama nguruwe halafu upate demu wa kiislamu ndo utaacha milio yako.
 
hawakupendi hao wanaume mkifika mshindo mna vituko vyenu wengine mpaka unawaonea huruma mwingine analia.
Daaa embu nnyamaze mie mapenzi kuvumuliana jamani sasa kama hawezi kuvumilia vijisekunde vya muungurumo mengine ataweza.

upo sawa kabisa!
 
Jf inanipa rahaa sana hasa nikiwanatakakucheka lazima niingie humu
 
hahahahahahaaaaaaaa daddy jamani
sasa mm nitawezaje kumsaidia kumfunga mdomo wakati yuko na mhusika wake
wakati anapofanya majambozi amwambie amfunge ili asitoe muungurumo huo
usinitafutie ubaya daddy kwa wapendanao hao mm sintofanya hiyo kitu
Siamini katika unajimu mimi...

Hebu mtafutie solu tepu awe anaziba kinywa chake wakati wa majamboz
 
jamani hebu wanaume tuwe wakweli,kwani kuna ambaye haungurumi humu ndani?au wadada kwani wanaume mnaokutana nao hawaungurumi?au angalau kugugumia ndani kwa ndani watoto wasije kusikia?

mimi naunguruma simba cha mtoto halafu nikimaliza huwa naruka samasoti kama luis nani wa man utd akifunga goli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…