Napitiliza hadi kituo cha daladala kisa 'wowowo'

Miaka ya 2012 niliwahi kwenda kulipia bili ya maji pale Kimara mwisho. Ile niko kituoni nangojea daladala akawepo binti mmoja mrembo matata! Mateja wapiga debe wanamtolea macho na wameacha kupiga debe! Mi mwenyewe nikakosa cha kuongea nabaki namchek tu dogo. Ikaja dala dala tukapanda naye. Mie nilikuwa nashukia Ubungo ila ikanilazimu nipitilize mpaka Magomeni. Alivyoshuka sijui alishuka wapi hata sikumuona tena nikabaki najilaumu kwa kuzembea.
 
Huo ni ungunjwa. Yaani unaumwa mkuu, na hata mida hii ulipaswa uwe ushaanza kupata huduma pale Mirembe Dodoma, mtaa wa Iringa
 
Haaahaaa
 
Hahaaa you are not alone my brother,mhmm kiukwel ujinga wa pitiliza vitu kisa pisi kali kumenicost sana sema mim namba napewa [emoji23] shida inakuja kwenye utekelezaji.
 
Mkuu mbona ni kawaida tu, mimi nikanza kueleza yangu hapa dah!

Wowowo acha liitwe Wowowo tu
 
Acheni MASIHARA jama....

Humu hakuna ANAYEINAMISHA macho "Mizigo ikipita"....labda @JURJANI [emoji12]
JURJANI Anawake watatu...Lakini hainamishi macho chini...Anatafuta mwenye Msambwanda Kuwazidi wakezake wengine..Aoeee mke wanne. Jurjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…