Baby de toto
Senior Member
- Jan 3, 2025
- 106
- 213
- Thread starter
- #61
Pm yako umefungaPole Sana... Kisa chako kinafanana na changu pia... Cha muhimu ni kujikubali tu kwamba umeshakuwa hivyo na uishi kulingana na Hali yako.
Binafsi nilizunguka mahospitali yote makubwa TZ bila mafanikio.. mwisho nikaambiwa nikubaliane na Hali hiyo na nifanyiwe counseling ili niendelee tu na maisha.
Kama inawezekana tuwasiliane zaidi.
Pole Sana... Kisa chako kinafanana na changu pia... Cha muhimu ni kujikubali tu kwamba umeshakuwa hivyo na uishi kulingana na Hali yako.

Kama inawezekana tuwasiliane zaidi
Pole Sana... Kisa chako kinafanana na changu pia... Cha muhimu ni kujikubali tu kwamba umeshakuwa hivyo na uishi kulingana na Hali yako.
Binafsi nilizunguka mahospitali yote makubwa TZ bila mafanikio.. mwisho nikaambiwa nikubaliane na Hali hiyo na nifanyiwe counseling ili niendelee tu na maisha.
Kama inawezekana tuwasiliane zaidi.
Inasaidia nini??Tafuta bangili ya Shaba vaa mkononi au hata pete ya Shaba vaa mkononi kwenye kidole na inafaa uvae masaa 12 ya jua yaan mchana tu katika utendaji wako wa kazi yaan kuanzia saa 1 asubuhi mpaka saa 12 jioni vua, utanishukuru
View attachment 3202896