Napitia kipindi kigumu kuliko kawaida

Napitia kipindi kigumu kuliko kawaida

hezron23

Member
Joined
Sep 8, 2020
Posts
10
Reaction score
21
Kwa kuanza kabisa Mimi ni mwalimu wa primary ajira mpya kwa hii intake ya Desemba!

Nakiri wazi kuwa tangu nimalize chuo mwaka 2016 ndo nimebahatika kupata ajira mwaka jana lakini Hali yangu kimwili, na kiakili kwa Sasa haijakaa sawa kutokana na changamoto ninazopitia.

Kwanza naomba niweke wazi kuwa tangu mwezi desemba nipo kituoni (kazini) na sijawahi pewa mshahara hata mmoja maana kila nikifuatilia halmashauri naambiwa kuwa nisubiri uhakiki wa vyeti bado unaendelea na huu mwezi sina hakika ya kulipwa yaani hapa nilipo nadaiwa na watu hata kupokea simu naogopa, na mbaya zaidi kila siku naishi kwa mikopo na siku nikikosa kabisa nalala njaa kabisa, nilijaribu kumueleza mkuu wa shule lakini katika bajeti yao walinipa sh 10000 tu wakidai kuwa chalk na vifaa vingine vya shule havijanunuliwa na wakizidisha bajeti itawalemea.

Yaani sikuwahi jua kuwa mtu unaweza ikafika hatua ukaishi kwa mateso hivi.

Yaani inafika kipindi napika ugali naweka chumvi kisa sina mboga.

Muda mwingine nakoroga uji natia chumvi.

Huku kwetu maji tunanunua siku nikikosa hela ya kununulia maji nanawa maji niliyooshea vyombo.

Yaani Mambo mengi magumu ambayo nayapitia na mpaka saivi nimedhoofu mwili hasa, sina amani kabisa yaani.

Na kingine nikiweke wazi na hii shida sijui nimeirithi wapi maana ni Toka utoto mfano kama hapa nateseka Sana lakini kutoka hapa na kwenda kwa majirani nikaombe chakula nashindwa kabisa maana naweza kaa hata siku mbili sijaonja kitu lakini kuomba chakula kwa mtu nashindwa kabisa.

Na saivi hakuna mtu hata wa kumkopa maana asilimia kubwa nimewakopa na wengine wananidai maana nikiwaambia bado sijaanza kupokea mshahara wanahisi nawadanganya.

Ila nateseka sana Tena Sana kibaya zaidi naishi kwenye nyumba ya kupanga ambapo mwenye nyumba ananidai kodi Toka januari na analalamika nimlipe Kodi yake au nihame.

Naombeni ushauri jamani maana wazo lililopo kichwani ni kutoenda shule Hadi mshahara utakapo ingia ili hizi siku nitumie hata kufanya vibarua. Je, naweza achishwa kazi kwa kosa la kutoenda shule.
 
Ongea na mkuu wa shule, rudi home mpaka siku ukiwekewa mshahara.
Niliongea naye kadai kuwa mtu ambaye hajalipwa mshahara sio ww tu na lingine alisema yy anaruhusiwa kutoa ruhusa ya siku mbili tu ndo maana nataka niamue kwa mawazo yangu nistop kwenda kazini kwa muda hata bila taarifa rasmi.
 
Niliongea naye kadai kuwa mtu ambaye hajalipwa mshahara sio ww tu na lingine alisema yy anaruhusiwa kutoa ruhusa ya siku mbili tu ndo maana nataka niamue kwa mawazo yangu nistop kwenda kazini kwa muda hata bila taarifa rasmi
Kwani kufutwa kazi ni mpaka ufikishe siku ngapi?
 
Sasa unafundisha vipi na njaa Mkuu...Hamia.kwa Mkuu wa Shule akulee...huwa naona hivyo mbona
Nilitaka kufanya hivyo Ila mkuu anatoka mbali na shule kwenda na kurudi 4000 huko anakokaa hivyo kwa watu wawili alisema hio bajeti ya nauli hataweza
 
Kwa kuanza kabisa Mimi ni mwalimu wa primary ajira mpya kwa hii intake ya Desemba!

Nakiri wazi kuwa tangu nimalize chuo mwaka 2016 ndo nimebahatika kupata ajira mwaka Jana lakini Hali yangu kimwili, na kiakili kwa Sasa haijakaa sawa kutokana na changamoto ninazopitia.

Kwanza naomba niweke wazi kuwa tangu mwezi desemba nipo kituoni (kazini) na sijawahi pewa mshahara hata mmoja maana kila nikifuatilia halmashauri naambiwa kuwa nisubiri uhakiki wa vyeti bado unaendelea na huu mwezi sina hakika ya kulipwa yaani hapa nilipo nadaiwa na watu hata kupokea simu naogopa, na mbaya zaidi kila siku naishi kwa mikopo na siku nikikosa kabisa nalala njaa kabisa, nilijaribu kumueleza mkuu wa shule lakini katika bajeti yao walinipa sh 10000 tu wakidai kuwa chalk na vifaa vingine vya shule havijanunuliwa na wakizidisha bajeti itawalemea.

Yaani sikuwahi jua kuwa mtu unaweza ikafika hatua ukaishi kwa mateso hivi

Yaani inafika kipindi napika ugali naweka chumvi kisa sina mboga

Muda mwingine nakoroga uji natia chumvi

Huku kwetu maji tunanunua siku nikikosa hela ya kununulia maji nanawa maji niliyooshea vyombo

Yaani Mambo mengi magumu ambayo nayapitia na mpaka saivi nimedhoofu mwili hasa ,sina amani kabisa yaani.

Na kingine nikiweke wazi na hii shida sijui nimeirithi wapi maana ni Toka utoto mfano Kama hapa nateseka Sana lakini kutoka hapa na kwenda kwa majirani nikaombe chakula nashindwa kabisa maana naweza kaa hata siku mbili sijaonja kitu lakini kuomba chakula kwa mtu nashindwa kabisa.

Na saivi hakuna mtu hata wa kumkopa maana asilimia kubwa nimewakopa na wengine wananidai maana nikiwaambia bado sijaanza kupokea mshahara wanahisi nawadanganya.

Ila nateseka Sana Tena Sana kibaya zaidi naishi kwenye nyumba ya kupanga ambapo mwenye nyumba ananidai kodi Toka januari na analalamika nimlipe Kodi yake au nihame.

Naombeni ushauri jamani maana wazo lililopo kichwani ni kutoenda shule Hadi mshahara utakapo ingia ili hizi siku nitumie hata kufanya vibarua. Je, naweza achishwa kazi kwa kosa la kutoenda shule.
Kama ni kweli, pole
 
Kwa kuanza kabisa Mimi ni mwalimu wa primary ajira mpya kwa hii intake ya Desemba!

Nakiri wazi kuwa tangu nimalize chuo mwaka 2016 ndo nimebahatika kupata ajira mwaka jana lakini Hali yangu kimwili, na kiakili kwa Sasa haijakaa sawa kutokana na changamoto ninazopitia.

Kwanza naomba niweke wazi kuwa tangu mwezi desemba nipo kituoni (kazini) na sijawahi pewa mshahara hata mmoja maana kila nikifuatilia halmashauri naambiwa kuwa nisubiri uhakiki wa vyeti bado unaendelea na huu mwezi sina hakika ya kulipwa yaani hapa nilipo nadaiwa na watu hata kupokea simu naogopa, na mbaya zaidi kila siku naishi kwa mikopo na siku nikikosa kabisa nalala njaa kabisa, nilijaribu kumueleza mkuu wa shule lakini katika bajeti yao walinipa sh 10000 tu wakidai kuwa chalk na vifaa vingine vya shule havijanunuliwa na wakizidisha bajeti itawalemea.

Yaani sikuwahi jua kuwa mtu unaweza ikafika hatua ukaishi kwa mateso hivi.

Yaani inafika kipindi napika ugali naweka chumvi kisa sina mboga.

Muda mwingine nakoroga uji natia chumvi.

Huku kwetu maji tunanunua siku nikikosa hela ya kununulia maji nanawa maji niliyooshea vyombo.

Yaani Mambo mengi magumu ambayo nayapitia na mpaka saivi nimedhoofu mwili hasa, sina amani kabisa yaani.

Na kingine nikiweke wazi na hii shida sijui nimeirithi wapi maana ni Toka utoto mfano kama hapa nateseka Sana lakini kutoka hapa na kwenda kwa majirani nikaombe chakula nashindwa kabisa maana naweza kaa hata siku mbili sijaonja kitu lakini kuomba chakula kwa mtu nashindwa kabisa.

Na saivi hakuna mtu hata wa kumkopa maana asilimia kubwa nimewakopa na wengine wananidai maana nikiwaambia bado sijaanza kupokea mshahara wanahisi nawadanganya.

Ila nateseka sana Tena Sana kibaya zaidi naishi kwenye nyumba ya kupanga ambapo mwenye nyumba ananidai kodi Toka januari na analalamika nimlipe Kodi yake au nihame.

Naombeni ushauri jamani maana wazo lililopo kichwani ni kutoenda shule Hadi mshahara utakapo ingia ili hizi siku nitumie hata kufanya vibarua. Je, naweza achishwa kazi kwa kosa la kutoenda shule.
Suluhisho Nenda kwa mkurugenzi mwambie hali unayopitia walio wengi ni waelewa watakusaidia, usiende kwa maofisa wa chini nenda kwenye office yake hata kama hana nafasi weke appointment.

Sehemu nyingine ni kwa mbunge au diwani wa ene hilo unaweza fika kwa office yake au nyumbani kwake pia anaweza kukusaidia. Usikate tamaa wengi wamepitia hali hiyo, tena wewe una nafuu kwani una mwanga mzuri mbele yako.
 
Kwa kuanza kabisa Mimi ni mwalimu wa primary ajira mpya kwa hii intake ya Desemba!

Nakiri wazi kuwa tangu nimalize chuo mwaka 2016 ndo nimebahatika kupata ajira mwaka jana lakini Hali yangu kimwili, na kiakili kwa Sasa haijakaa sawa kutokana na changamoto ninazopitia.

Kwanza naomba niweke wazi kuwa tangu mwezi desemba nipo kituoni (kazini) na sijawahi pewa mshahara hata mmoja maana kila nikifuatilia halmashauri naambiwa kuwa nisubiri uhakiki wa vyeti bado unaendelea na huu mwezi sina hakika ya kulipwa yaani hapa nilipo nadaiwa na watu hata kupokea simu naogopa, na mbaya zaidi kila siku naishi kwa mikopo na siku nikikosa kabisa nalala njaa kabisa, nilijaribu kumueleza mkuu wa shule lakini katika bajeti yao walinipa sh 10000 tu wakidai kuwa chalk na vifaa vingine vya shule havijanunuliwa na wakizidisha bajeti itawalemea.

Yaani sikuwahi jua kuwa mtu unaweza ikafika hatua ukaishi kwa mateso hivi.

Yaani inafika kipindi napika ugali naweka chumvi kisa sina mboga.

Muda mwingine nakoroga uji natia chumvi.

Huku kwetu maji tunanunua siku nikikosa hela ya kununulia maji nanawa maji niliyooshea vyombo.

Yaani Mambo mengi magumu ambayo nayapitia na mpaka saivi nimedhoofu mwili hasa, sina amani kabisa yaani.

Na kingine nikiweke wazi na hii shida sijui nimeirithi wapi maana ni Toka utoto mfano kama hapa nateseka Sana lakini kutoka hapa na kwenda kwa majirani nikaombe chakula nashindwa kabisa maana naweza kaa hata siku mbili sijaonja kitu lakini kuomba chakula kwa mtu nashindwa kabisa.

Na saivi hakuna mtu hata wa kumkopa maana asilimia kubwa nimewakopa na wengine wananidai maana nikiwaambia bado sijaanza kupokea mshahara wanahisi nawadanganya.

Ila nateseka sana Tena Sana kibaya zaidi naishi kwenye nyumba ya kupanga ambapo mwenye nyumba ananidai kodi Toka januari na analalamika nimlipe Kodi yake au nihame.

Naombeni ushauri jamani maana wazo lililopo kichwani ni kutoenda shule Hadi mshahara utakapo ingia ili hizi siku nitumie hata kufanya vibarua. Je, naweza achishwa kazi kwa kosa la kutoenda shule.
Kwa kuanza kabisa Mimi ni mwalimu wa primary ajira mpya kwa hii intake ya Desemba!

Nakiri wazi kuwa tangu nimalize chuo mwaka 2016 ndo nimebahatika kupata ajira mwaka jana lakini Hali yangu kimwili, na kiakili kwa Sasa haijakaa sawa kutokana na changamoto ninazopitia.

Kwanza naomba niweke wazi kuwa tangu mwezi desemba nipo kituoni (kazini) na sijawahi pewa mshahara hata mmoja maana kila nikifuatilia halmashauri naambiwa kuwa nisubiri uhakiki wa vyeti bado unaendelea na huu mwezi sina hakika ya kulipwa yaani hapa nilipo nadaiwa na watu hata kupokea simu naogopa, na mbaya zaidi kila siku naishi kwa mikopo na siku nikikosa kabisa nalala njaa kabisa, nilijaribu kumueleza mkuu wa shule lakini katika bajeti yao walinipa sh 10000 tu wakidai kuwa chalk na vifaa vingine vya shule havijanunuliwa na wakizidisha bajeti itawalemea.

Yaani sikuwahi jua kuwa mtu unaweza ikafika hatua ukaishi kwa mateso hivi.

Yaani inafika kipindi napika ugali naweka chumvi kisa sina mboga.

Muda mwingine nakoroga uji natia chumvi.

Huku kwetu maji tunanunua siku nikikosa hela ya kununulia maji nanawa maji niliyooshea vyombo.

Yaani Mambo mengi magumu ambayo nayapitia na mpaka saivi nimedhoofu mwili hasa, sina amani kabisa yaani.

Na kingine nikiweke wazi na hii shida sijui nimeirithi wapi maana ni Toka utoto mfano kama hapa nateseka Sana lakini kutoka hapa na kwenda kwa majirani nikaombe chakula nashindwa kabisa maana naweza kaa hata siku mbili sijaonja kitu lakini kuomba chakula kwa mtu nashindwa kabisa.

Na saivi hakuna mtu hata wa kumkopa maana asilimia kubwa nimewakopa na wengine wananidai maana nikiwaambia bado sijaanza kupokea mshahara wanahisi nawadanganya.

Ila nateseka sana Tena Sana kibaya zaidi naishi kwenye nyumba ya kupanga ambapo mwenye nyumba ananidai kodi Toka januari na analalamika nimlipe Kodi yake au nihame.

Naombeni ushauri jamani maana wazo lililopo kichwani ni kutoenda shule Hadi mshahara utakapo ingia ili hizi siku nitumie hata kufanya vibarua. Je, naweza achishwa kazi kwa kosa la kutoenda shule.
Pole ndg, naamini mwezi huu mtapata mliobaki lakini pia ungeongea na Mkuu wako mapema tu ukasepa zako mpaka ck mshahara utakapotoka, hakuna mtu wa kukuachisha kazi wakati hujapata mshahara wowote, mwezi huu ukipita bila usiendelee kukaa hapo kituoni katafute hela mtaani wakuu wa cku hizi hawasemi uspojiongeza utaugua vdonda vya tumbo hapo school!
 
Kuna wakati tunapaswa kumshukuru sana mungu, we unalalamika huna viatu wenzio hawana miguu
jaribu kuwaza wenzio uliomaliza nao chuo hawajaajiliwa na hawana ramani na hakuna wa kumkopa ili kusogeza mbele gurudumu la maisha kwa matumaini ya kulipa hata mwisho wa mwezi?. mi nakushauri acha kazi uwape nafasi wahitaji ambao wako tayari kuvumilia hali hiyo.
Ww jamaangu unaakili fupi sana, afadhali ukose ramani ukiwa mazingira uliyozoea kulko ugenini, pili uvumilivu gani unataka kama yy kakaa mwezi Wa 4 huu kwa kupewa 10 na shule, ungekuwa wewe na akili hiyo ushakufa muda sana!
 
Back
Top Bottom