Napitia katika changamoto kubwa

Wizzy mimi ndoa nimepata,nina mtoto ila mleta mada namuonea huruma na atakavyopata shida humu
 
Pole sana dada, lakini mbona bado unamuda wa kutosha usichanganyikiwe namna hiyo kwasababu haya mambo yanataka uangalifu mdogo wangu. Be very careful

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitashukuru. Yaani pamoja na unyago wa kwetu hayo ulompa m-dada mi sikuambiwa

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji1] [emoji1]
Ndiyo uzuri wa JF utakutana na wanaume wafundaji.

kunamambo mtu anayoona madogo ila yanaweza kubadili maisha yake ya Mahusiano.

Utani Cc ukianzisha uzi basi nije nimwage wino.
 
Mie in a serious means nataka mtoto kabisa.Kama upo tayari tuwasiliane na utapata bila masharti yoyote.Atakuwa wako tu,na pia sijaoa na sina mpango wa kuoa.Am very serious about this,if you wish you can decide.Am old enough na ninazalisha vzr tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo tayari kukupa mtoto,Ila Kwa kupima afya Kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipaniki mydya tulia
Na uskate tamaa wala kuutesa mwili wako kuna muda tunapitishwa vpnd vgumu ili tupimwe imani zetu na uwezo wetu wa kumwamini Mungu
Nakushauri kabsaa I'm nt 30's but out of experience ucjelogwa kudate na mume wa mtu hao watu ni washenz utajutia maisha yako yote malengo yao wanapanga na wake zao ww ungekua sex machine tu
So do this relax and wait but sali Mungu wetu ni mwaminifu anajibu vzur kabsaa na kwa wakati sahh
Utaulzwa unaolewa lini sababu ni kawaoda kwa jamii yetu bnt ukimalza shule uolewe so its ok kwao kuulza na kukusema pia usiogope kabsaa! Relax and do your thing mpnz if you nid a friend to talk to nipm ntakua best yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana... miaka 32 bado una bikra... kwa maana hata masturbation hufanyi? Utakua na matatizo...

Anyways... why uzae na mume wa mtu? Usiwe desperate, tafuta unmarried mwenzako muanzishe mahusiano...

Tabu hutoipata wewe, bali mwanao huko mbeleni...


Cc: mahondaw
 

kweli kabisa love
 
Pole, sisi tunaoamini ktk Maandiko matakatifu (Bible) inatuambia kila jambo lina wakati wake, upo wakati wa kulima pia upo wakati wa kuvuna, amini wakati wako unakuja na SAA yako itafika. Kosea yote lakini sio kuoa/kuolewa, TAFAKARI CHUKUA HATUA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dada leo sijui kapata pm ngapi, bikra jamani inawazuzua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…