Kulinganisha na dar ni kidogo mno. 80% ya mzunguko wa pesa Tanzania uko Dar, Na hata movement za watu kwenda na kurudi kwa siku ktk barabara za dar ni kubwa mno kulinganisha na barabara ya Mbeya-Tabora ambako hata mtu akiamua kukaa Makongolosi akahesabu magari yanayotumia njia hiyo kwa siku yanaweza yasifike hata 50. Kwahiyo japo kuna watu wanaathrika kibiashara na uzalishaji lakini haiwezi kufikia hasara inayotokana na jam za dar.
Pole, ni upeo wako mdogo... kwa bahati mbaya sana, hakuna dalili kama utapona
Hata maiti yangu hawawezi kiulipa buk7 ikakubali, kamanda haki kwanza uchumi unakuja wenyewe maana si tuna vipaji na taaluma mbalimbali pesa itakuja tu ndani ya haki, ni fedheha kulipwa ili ukwamishe ukombozi, ni kama ushetani tumkuu hii ID huwa naichanganya na yule mlipwa elfu 7 Utaifakwanza , dah! Almanusura nikupe kitu , baadaye nikagundua wewe ni kamanda .
Sasa hizi ni takwimu za mchango wa mikoa kwa pato la taifa. Sasa mchango wa miji kama miji ndio tofauti inakuwa zaidi maana mkoa mzima wa Dar ni jiji kwa hiyo figure hizo hazitabadilika lakini ukitafuta mchango wa Mbeya kwa mfano basi utatakiwa kutoa mchango Rungwe, kyela, Ileje, Mbozi, Chunya, mbeya vijijini, Busokelo na Mbalali. Kitakachosalia ni nkichefuchefu, vivyo hivyo kwa Mwanza na arusha. sasa nadhani utaelewa mchango wa Dar ulivyo mkubwa. Sasa baada ya hapo tunakuja kwenye hesabu za kawaida gharama ya ile flyover (wengine wanaita ni daraja tu) itakuwa around 150 bilioni, sasa tufanye wewe ndio unaamua basi kwa hoja yako kutojenga hiyo flyover unajenga tufanye barabara kati ya Mbeya na Tabora. Kwa pesa hiyo utajenga kwa kiwango cha wastani barabara ya lami 150km lakini umbali kati ya Jiji la Mbeya na mji wa tabora ni 437.08km. Ina maana utakuwa umejenga barabara mpaka sehem fulani ya chunya kwa hiyo impact kwa maendeleo itakuwa ndogo kuliko hata ulivyotarajia. Lakini kwa hela hiyo hiyo utafanikiwa kusababisha magari yasisubiriane pale Tazara na impact itakuwa kubwa.Kibona,
Nadhani umejibana ktk wigo mdogo sana. kaangalie takwimu zinasema nini kuhusu miji hii na uingizaji wa fedha ya kigeni ukilinganisha na Dar
1. Mwanza
2. Arusha
3. Mbeya.
Kama sehemu inaigiza fedha nyingi za kigeni maana yake ndo mpango mkakati wa kukuza uchumi unatakiwa uanzie hapo (the center can be a strategic point to control inflations)! kwa ivo si kweli kwamba Dar pekee ndo muhimili wa uchumi tatizo ni kwamba wanasiasa wamegubikwa na umangimeza hadi kushindwa kutumia potentiality ya hizi sehemu nyinginezo. Matokeo yake wameaminisha watz kuwa Dar ndo muhimili pekee wa uchumi wa nchi!.
Napinga ujengwaji wa barabara za juu au flyover Dar, badala yake hizo fedha zipelekwe kwanza Mikoani, Wilayani ambako hamna Barabara, kwa mfano kwenye kuunganisha Mikoa kwa Mikoa kama vile Tabora-Mbeya, Mtwara- Ruvuma, Kondoa-Handeni, Ifakara- Handeni-Lushoto, Arusha- Musoma n.k.
kwa kufanya hivyo kutawezesha pia Watu waishio mikoa mingine kujikomboa kiuchumi, Dar tayari tuko mbali sana kiuchumi ukilinganisha ni mikoa mingine, hivyo haileti maana kuendelea kuwekeza fedha zote hapa Dar!
Halafu isitoshe kabla hata ya kufikiri kujenga hizo flyover kwanza barabara za mitaani zote zijengwe na kupitika kama walivyofanya Barabara za oysterbay,Masaki, ambazo zimewaondelea foleni wakazi wa huko ingawaje uwiano wa watu wenye magali kwa wakazi wa huko ni mkubwa kuliko sehemu yoyote ile ya nchi yetu hivyo basi wajenge kwanza br pia sehemu kama za Sinza, Magomeni, Temeke, Vingunguti, n.k yaani flyover ziwe hatua ya mwisho kabisa.
Sasa hizi ni takwimu za mchango wa mikoa kwa pato la taifa. Sasa mchango wa miji kama miji ndio tofauti inakuwa zaidi maana mkoa mzima wa Dar ni jiji kwa hiyo figure hizo hazitabadilika lakini ukitafuta mchango wa Mbeya kwa mfano basi utatakiwa kutoa mchango Rungwe, kyela, Ileje, Mbozi, Chunya, mbeya vijijini, Busokelo na Mbalali. Kitakachosalia ni nkichefuchefu, vivyo hivyo kwa Mwanza na arusha. sasa nadhani utaelewa mchango wa Dar ulivyo mkubwa. Sasa baada ya hapo tunakuja kwenye hesabu za kawaida gharama ya ile flyover (wengine wanaita ni daraja tu) itakuwa around 150 bilioni, sasa tufanye wewe ndio unaamua basi kwa hoja yako kutojenga hiyo flyover unajenga tufanye barabara kati ya Mbeya na Tabora. Kwa pesa hiyo utajenga kwa kiwango cha wastani barabara ya lami 150km lakini umbali kati ya Jiji la Mbeya na mji wa tabora ni 437.08km. Ina maana utakuwa umejenga barabara mpaka sehem fulani ya chunya kwa hiyo impact kwa maendeleo itakuwa ndogo kuliko hata ulivyotarajia. Lakini kwa hela hiyo hiyo utafanikiwa kusababisha magari yasisubiriane pale Tazara na impact itakuwa kubwa.
Kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania(BOT),Dsm ndio mkoa unaoongoza kwa kuchangia pato la taifa.
1. Dar-es-salaam(GDP-7.5 trilion)
2. Mwanza(GDP-4.09 trilion)
3. Mbeya(GDP-3.2 trilion)
4. Shinyanga
5. Iringa
6. Morogoro
7. Arusha(GDP-2.1 triliom)
8. Tanga(GDP-2.09 trillion)
9. Kilimanjaro(GDP-2.03 trillion)
E,e,e,e,e,e,e,e,e,eeeehe, wewe una njama na JB, yaani ziwa Tanganyika kwa upande wa Mozambique wamegawana nusu nusu, huko Bongo ziwa lote umetoa kwa Wamalawi. Hamia huko huko, huna machungu na nchi wewe !!! Halafu mboa ramani hii ni mwaka 2012, umeichorea wapi hii. Tanzania Geographical Society wanaiju kweli ?
Mkuu, nani kakwambia mimi ni mchora ramani?? Tuletee yako ambayo ambayo Ziwa Tanganyika limepakana na Mozambique. By the way, hivi mipaka imbadilika baada ya 2012?? Na ni nani alikuambia kuwa ramani ya TGS ndiyo halali??
Hata useme ukiwa umesimama juu ya mti sitakaa nikuelewe, huna uzalendo wewe. Ramani gani hiyo unatumia na bado unazidi kuitetea. Labda wewe sio Mtanzania, ndio nyie hao manakuwa wasemaji wa PK.
Hakuna flyover inayojengwa Dar,kinachotarajiwa kujengwa kinaitwa Upper passage.
hata hiyo reli waliijenga dar kwanza!Waliofanya huo Utafiti kama ni Kweli basi ni Vilaza, hakuna nchi iliyoendelea kwa kubeza Mikoani, hata Wazungu walivyokuja kitu cha kwanza walichofanya walijenga Reli inyounganisha Mikoa ya Arusha KLM na Tanga, Dar na Mikoani yaani ktk Kigoma, Mwanza, Tabora mpka Dar sasa ni kwa nini?
Kwa nini hawakujenga tu Dar? Kama unafikiri Dar muhimu kuwa na miundombinu Bora kuliko kwingine? Hizi Barabara zote tunazojenga leo tunarekebisha tu lkn zilijengwa na Wazungu sasa ni kwa nini wao hawakupendelea Dar Tu?
Mr. Zero, angalia hilo jina lako linakusumbua, wakati mwingine majina yanareflect tabia ya mtu, ndio, maana unagombana na key pad. Miye niko mmoja tena mbali na upeo wa macho yako, halafu hata masaa tofauti, wewe unaniita ninyi wakati niko pekee yangu. Rudi, point - lengo langu ni kwamba, unachagua kilelezo cha kutumia kutolea elimu kwa Umma, kikague na kukukisha hakina upungufu,Nyinyi ndiyo wale wale!! Yaani wewe unafikiri ni Mtanzania kuliko wengine siyo!! Sasa si uje na hiyo ramani ................ For your primitive thinking unajaribu hata kugeuza mjadara!! Hiyo ramani niliileta kwa ajili ya mipaka ya mikoa as I got it from google. Sasa wewe mzalendo kuliko wengine unajaribu hata kubadili context ya huu mjadala na kuunza kujaribu kuhamishia kwenye mipaka ya nchi. Hivi unafikiri mipaka ya nchi inabadirishwa na hiyo ramani au kwenye mitandao ya jamii forums. Kama unataka kudiscuss issue ya mipaka ya Tanzania na Malawi, kuna thread yake itafute uchangie uje na huo uzalendo wako kuliko watanzania wengine. Kwanza umeshaonyesha ni jinsi gani hata mipaka ya nchi usivyoijua kwa kudai mipaka ya ziwa Tanganyika na Mozambique................. sasa huo uzalendo wako uko wapi!! Umekuwa brain washed then you think you know everything!!
Napinga ujengwaji wa barabara za juu au flyover Dar, badala yake hizo fedha zipelekwe kwanza Mikoani, Wilayani ambako hamna Barabara, kwa mfano kwenye kuunganisha Mikoa kwa Mikoa kama vile Tabora-Mbeya, Mtwara- Ruvuma, Kondoa-Handeni, Ifakara- Handeni-Lushoto, Arusha- Musoma n.k.
kwa kufanya hivyo kutawezesha pia Watu waishio mikoa mingine kujikomboa kiuchumi, Dar tayari tuko mbali sana kiuchumi ukilinganisha ni mikoa mingine, hivyo haileti maana kuendelea kuwekeza fedha zote hapa Dar!
Halafu isitoshe kabla hata ya kufikiri kujenga hizo flyover kwanza barabara za mitaani zote zijengwe na kupitika kama walivyofanya Barabara za oysterbay,Masaki, ambazo zimewaondelea foleni wakazi wa huko ingawaje uwiano wa watu wenye magali kwa wakazi wa huko ni mkubwa kuliko sehemu yoyote ile ya nchi yetu hivyo basi wajenge kwanza br pia sehemu kama za Sinza, Magomeni, Temeke, Vingunguti, n.k yaani flyover ziwe hatua ya mwisho kabisa.
we unaropoka tu kwanza mi naona wamechelewa. haiwezekani miji ya kampala na nairobi sasa hivi ina flyovers na bypass roads na siisi tuwe hatuna. serikali jengeni hiyo flyover haraka na ikiwezekana ongezeni na pale ubungo na morroco junctions. especially ubungo....ni shida tupu! dar es salaaam is the fastest growing city in africa, kwa taarifa yako, na itakuwa megacity ya pekee hapa east africa (na watu zaidi ya million kumi) by 2030. serikali itenge special funds kwa ajili ya miundombinu ya jiji liwe na hadhi ya juu. dar es salaam is the face of tanzania bwana!
Kampala ina flyover sehemu gani? Nairobi uko sahihi lakini Kampala hebu nisaidie mahali ilipo.we unaropoka tu kwanza mi naona wamechelewa. haiwezekani miji ya kampala na nairobi sasa hivi ina flyovers na bypass roads na siisi tuwe hatuna. serikali jengeni hiyo flyover haraka na ikiwezekana ongezeni na pale ubungo na morroco junctions. especially ubungo....ni shida tupu! dar es salaaam is the fastest growing city in africa, kwa taarifa yako, na itakuwa megacity ya pekee hapa east africa (na watu zaidi ya million kumi) by 2030. serikali itenge special funds kwa ajili ya miundombinu ya jiji liwe na hadhi ya juu. dar es salaam is the face of tanzania bwana!
Jamani kubalini wote mmeteleza; Mr. Zero kateleza kwa kutumia Ramani ambayo kwa watz haikubaliki japo siamini kuwa anaunga mkono madai ya Malawi. Sawabho nae kateleza kwa kusema Ziwa Tanganyika badala ya Nyasa maana siamini pia kuwa hajui Tanganyika liko wapi na Nyasa liko wapi.Nyinyi ndiyo wale wale!! Yaani wewe unafikiri ni Mtanzania kuliko wengine siyo!! Sasa si uje na hiyo ramani ................ For your primitive thinking unajaribu hata kugeuza mjadara!! Hiyo ramani niliileta kwa ajili ya mipaka ya mikoa as I got it from google. Sasa wewe mzalendo kuliko wengine unajaribu hata kubadili context ya huu mjadala na kuunza kujaribu kuhamishia kwenye mipaka ya nchi. Hivi unafikiri mipaka ya nchi inabadirishwa na hiyo ramani au kwenye mitandao ya jamii forums. Kama unataka kudiscuss issue ya mipaka ya Tanzania na Malawi, kuna thread yake itafute uchangie uje na huo uzalendo wako kuliko watanzania wengine. Kwanza umeshaonyesha ni jinsi gani hata mipaka ya nchi usivyoijua kwa kudai mipaka ya ziwa Tanganyika na Mozambique................. sasa huo uzalendo wako uko wapi!! Umekuwa brain washed then you think you know everything!!
Northern bypass ukiingia mjini kama unatokea namboole stadium. Picha hizi hapaKampala ina flyover sehemu gani? Nairobi uko sahihi lakini Kampala hebu nisaidie mahali ilipo.