Mkuu, tofauti yake ni nini? Mi nilidhani ni kitu hicho hicho tu. Moja ni American English na Nyingine British English.
Napinga ujengwaji wa barabara za juu au flyover Dar, badala yake hizo fedha zipelekwe kwanza Mikoani, Wilayani ambako hamna Barabara, kwa mfano kwenye kuunganisha Mikoa kwa Mikoa kama vile Tabora-Mbeya, Mtwara- Ruvuma, Kondoa-Handeni, Ifakara- Handeni-Lushoto, Arusha- Musoma n.k.
kwa kufanya hivyo kutawezesha pia Watu waishio mikoa mingine kujikomboa kiuchumi, Dar tayari tuko mbali sana kiuchumi ukilinganisha ni mikoa mingine, hivyo haileti maana kuendelea kuwekeza fedha zote hapa Dar!
Halafu isitoshe kabla hata ya kufikiri kujenga hizo flyover kwanza barabara za mitaani zote zijengwe na kupitika kama walivyofanya Barabara za oysterbay,Masaki, ambazo zimewaondelea foleni wakazi wa huko ingawaje uwiano wa watu wenye magali kwa wakazi wa huko ni mkubwa kuliko sehemu yoyote ile ya nchi yetu hivyo basi wajenge kwanza br pia sehemu kama za Sinza, Magomeni, Temeke, Vingunguti, n.k yaani flyover ziwe hatua ya mwisho kabisa.
Unajua ni fedha kiasi gani kinapotea kusafirisha Mzigo wa Biashara kutoka Mbeya kwenda Tabora kwa wiki mbili?
Unajua Uchumi unasimama kwa kiasi gani kwa watu Mikoa kwa mikoa kutokuwa na mawasiliano? Unajua Mkulima wa Ifakara anaathirika kwa kiasi gani au angefaidika vipi kama angeweza kusafirisha mazao yake mpaka Tanga au Arusha bila shida? Unaelewa hilo lingechangia ukuaji wa Uchumi kwa kiasi gani?
Mkuu, tofauti yake ni nini? Mi nilidhani ni kitu hicho hicho tu. Moja ni American English na Nyingine British English.
Napinga ujengwaji wa barabara za juu au flyover Dar, badala yake hizo fedha zipelekwe kwanza Mikoani, Wilayani ambako hamna Barabara, kwa mfano kwenye kuunganisha Mikoa kwa Mikoa kama vile Tabora-Mbeya, Mtwara- Ruvuma, Kondoa-Handeni, Ifakara- Handeni-Lushoto, Arusha- Musoma n.k.
kwa kufanya hivyo kutawezesha pia Watu waishio mikoa mingine kujikomboa kiuchumi, Dar tayari tuko mbali sana kiuchumi ukilinganisha ni mikoa mingine, hivyo haileti maana kuendelea kuwekeza fedha zote hapa Dar!
Halafu isitoshe kabla hata ya kufikiri kujenga hizo flyover kwanza barabara za mitaani zote zijengwe na kupitika kama walivyofanya Barabara za oysterbay,Masaki, ambazo zimewaondelea foleni wakazi wa huko ingawaje uwiano wa watu wenye magali kwa wakazi wa huko ni mkubwa kuliko sehemu yoyote ile ya nchi yetu hivyo basi wajenge kwanza br pia sehemu kama za Sinza, Magomeni, Temeke, Vingunguti, n.k yaani flyover ziwe hatua ya mwisho kabisa.
Kuna watu wao ni kupinga tuu.
Siasa zinaturudisha nyuma sana.
Yaani hiyo avatar ilinifanya nirudi tena kuangalia, nilichokiona nisahihi au macho yamwnidanganya. Na je kuna ujumbe gani anatuma kupitia avatwr hiyo.
Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
Hiyo avatar ni marufku kwa kwa M7.
Hata mimi avatar yake imenikera sana,sirudi tena kwenye hii thread.
Napinga ujengwaji wa barabara za juu au flyover Dar, badala yake hizo fedha zipelekwe kwanza Mikoani, Wilayani ambako hamna Barabara, kwa mfano kwenye kuunganisha Mikoa kwa Mikoa kama vile Tabora-Mbeya, Mtwara- Ruvuma, Kondoa-Handeni, Ifakara- Handeni-Lushoto, Arusha- Musoma n.k.
kwa kufanya hivyo kutawezesha pia Watu waishio mikoa mingine kujikomboa kiuchumi, Dar tayari tuko mbali sana kiuchumi ukilinganisha ni mikoa mingine, hivyo haileti maana kuendelea kuwekeza fedha zote hapa Dar!
Halafu isitoshe kabla hata ya kufikiri kujenga hizo flyover kwanza barabara za mitaani zote zijengwe na kupitika kama walivyofanya Barabara za oysterbay,Masaki, ambazo zimewaondelea foleni wakazi wa huko ingawaje uwiano wa watu wenye magali kwa wakazi wa huko ni mkubwa kuliko sehemu yoyote ile ya nchi yetu hivyo basi wajenge kwanza br pia sehemu kama za Sinza, Magomeni, Temeke, Vingunguti, n.k yaani flyover ziwe hatua ya mwisho kabisa.
Huyu mtowa mada naona kachanganyikiwa
Siokosalake ndivyo walivyo bavichaa
niyonee huruma nimetoka kariakoo saa 4 dak 30 asubui
Nikielekeya nssf mliman city
Nimetoka mliman kurudi kariakoo saa5 dk 15 hadi sasa sijafika kriakoo masaa mawili ni foleni tumekwama magomeni
Sijuwi kariako nitafika saa ngpi
Bado unakuja na mada ya kukataa barabara za juu ww mzima kweli
Flyover ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi ili kupunguza traffic jam. Unajua ni sh ngap zinapotea kwa siku kwa sababu ya foleni Dar? Pesa itakayookolewa itasaidia kurekebisha huko kwengine.
Hayo yote yao kwenye mipango ya serikali likiwemo na hili la fly overs. Hivyo kinachotakiwa ni subira tu yote yanawezekana.Kwa mtazamo wangu hizo "flyover" hazitosaidia kivile. Tatizo la foleni Dar kweli ni sababu ya magari mengi na barabara chache, ila lazima tukubali MIPANGO ya kupunguza foleni imekuwa mibovu. Hivyo namuunga mkono mtoa thread. Pia kuna vibarabara "vidogo" vya nje kidogo ya Dar ila ni vya muhimu kweli, vingeboreshwa kwa kiwango cha lami. Mfano: barabara ya mlimani (chuoni) inayotokea Kimara Baruti, Kinyerezi road ingetakiwa ipanuliwe na itengenezwe lami mpaka Mbezi, kisha nyingine toka Kinyerezi ipite mpaka huko Pugu, chanika, mpaka mbagala, kongowe kisha Kigamboni. Yaani hizi ziwe barabara kubwa. Wenye magari wangekuwa na machaguo kadhaa ya kupita wanapoenda au kurudi makwao/ maofisini. Pia ingependeza kama mji mpya wa kisasa (maofisi), ungejengwa huko nje ya Dar mjini, yaani Kisarawe. Foleni zingepungua.
Hii ramani sikubalini nayo! Una maana ziwa Nyasa lote ni mali ya Malawi? Hebu kairekebishe kwanza kabla ya kuipost humu ndani.
Nakubaliana na wewe 100 %. Actually sikuwa najua kuwa Mbeya na Tabora zinapaka .............. I had to google. Imagine mtu anayetoka Mbeya inabidi aje Iringa, Dodoma au Morogoro, Singida then Tabora (over 1500 km)............. wakati wangeza kukatiza moja kwa moja na kupunguza distance ingekuwa may be 300 to 400 km. Au aende Rukwa kwanza!!
Tatizo letu bado tu tunafuata barabara za mkoloni badala ya kuja na mpya.
Utafiti umefanyika ya kutosha na ukakidhi haja ya kuwa na hizo barabara za juu. Huko kwingine kutapiga hatua kama Dar itasonga mbele vilevile.